Picha: Mbunge aja na chopa kuzindua daraja la mbao

Hakuna

Hakuna hata mwenye barakoa na distancing ni zero kisha ustasikia eti tunataka chanjo watu wanakufa kwa covid
bro,, picha za kitambo sana hizo,,, watu walikua hawajui covid ni mnyama gani. hapo alikua kwenye kampeni na aliamua kutumia pesa zake mfukoni.
 
Kama hajauawa kwa kipigo toka wananchi wenye hasira kali huyo hafi hata COVID 19
 
Back
Top Bottom