Picha: Mbowe asimikwa kuwa Chifu wa Wasukuma

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
22,705
19,919
....

Wazee hao walisema wameamua kumsimika mwenyekiti huyo wa Chadema taifa kuwa Chifu wa Kisukuma, kutokana na Chama anacho kiongoza kimekuwa mhimili mkubwa wa kupigania maslahi ya wananchi katika kuhakikisha wanapata haki zao za msingi
...


1.jpg


14.jpg


Wazee wa Kisukuma wakifanya yao katika mkutano wa hadhara wa mheshimiwa Mbowe ambapo maelfu ya watu walishuhudia tukio hilo


6.jpg


Wazee hao walisema wameamua kumsimika mwenyekiti huyo wa Chadema taifa kuwa Chifu wa Kisukuma, kutokana na Chama anacho kiongoza kimekuwa mhimili mkubwa wa kupigania maslahi ya wananchi katika kuhakikisha wanapata haki zao za msingi katika nyanja

11.jpg


Vijana wa Red brigade wakiwa kwenye uzinduzi wa kongamano la vijana na kufunga mafunzo yao

15.jpg


Burudani zinaendelea

5.jpg


Source : Kwa hisani ya Malunde Blog
 
naomba nibadilishe kabila niwe msukuma maana wanajitambua sana hawa wakifuatiwa na wahaya
 
WASUKUMA ninawashangaa sana,wangeamua kwa wingi wao wangetoa Risi lkn wanaburuzwa na CCM na CDM,wana mali wana pesa pia wakarimu.lkn WANABURUZWA.
 
Kweli UKUBWA jalala. Kazi kwako kamanda Mbowe usituangushe tu. Ulichopewa pale ni kiti cha yule mzee wa vijisenti. Wazee wameng'amua kuwa alikosea miiko kidhuru zile kamera alipoenda kunyunyizia ule unga mweupe usiku bila nguo.
Sasa umepewa weye huo uwezo kuingia kwenye mioyo ya wasukuma wote.
 
Sasa hao wasukuma Wana machifu wangapi bhana, mara lowassa mara chenge mara kikwete mara lipumba mara mtikila sasa sijui mbowe aaaaaa Jazzband
 
Back
Top Bottom