Picha: mbowe afunika ifakara

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
Akiwa katika viwanja vya shule ya kiongwile mjini ifakara akimnadi mgombea udiwani wa kata ya ifakara dogo Peter lijualikali. Alizungumza mambo mengi lakini kubwa ni kuhusu rasimu ya katiba inapitiwa na wanasheria wa chama neno hadi neno na baadae kuwasilishwa katika kamati kuu. Hila alisisitiza suala la wakuu wa mikoa na wilaya ni lazima waondolewe kwy rasimu hii.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    348.7 KB · Views: 778
  • image.jpg
    image.jpg
    400.8 KB · Views: 704
  • image.jpg
    image.jpg
    334.3 KB · Views: 430
  • image.jpg
    image.jpg
    423.7 KB · Views: 612
  • image.jpg
    image.jpg
    629.7 KB · Views: 644
Muda si mrefu Mwampamba atafungua uzi mwingine.... Hahahaaa
 
safi sana hakuna kulala,huu mchakamchaka umewaduwaza wana ccm!!!wananchi wamechoka bwana miaka 51,hali inazidi kuwa mbaya kwa mtanzania isipokuwa kwa wachache wala 10% za mikataba hewa!
 
mbona ccm wana kazi Mungu wangu hili ni balaaaaa chadema kwel nimewakubali na hii ni noma kwa ccm
 
Tulianza na Mungu, tutamaliza na mungu; kazi inaendelea hadi magamba yatoke.

Kwenye Ma-DC na RC Kunahitaji umakini na michango mingi sana ili tuwaondoe. naomba watanzania wapenda haki na maendeleo ya nchi yao tuwakatae Viongozi hawa ambao huteuliwa ki-chama na si katika mwelekeo wa kusukyma gurudumu la maendeleo.
 
i said it.....chama kina watu makini,rasimu hii itapitiwa hatua kwa hatua kisha msemaji wa chama atatoa tamko......Sikukosea kujiunga na cdm,chama unachoona progress yake hatua kwa hatua pamoja na changamoto za kina Mandevu
 
Heheheiyaaaaa! Mbunge wa Jimbo hilo bwana Mteketa, ameteketea kwelikweli... Hana ham tena na jimbo.... Labda atafune Mfuko wa Jimbo tu Ml 76
 
Kilombero hatuna mbunge, mteketa ni mteuliwa wa tume ya uchaguzi, wananchi wa kilombero mbunge wetu amefariki(bi regia mtema) tunasubiri tume iitishe uchaguzi tuchague mbunge mwingine. M4C daima mpaka kieleweke.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom