Picha mbaya

Kibunago

JF-Expert Member
Jan 11, 2008
300
122
Nimeshangaa sana. ITV imeonesha Mh. Rais anatoa maelekezo na ufafanuzi muhimu kwa Baraza la Mawaziri & Manaibu wao HUKU BAADHI YAO WANAONEKANA HAWANA HABARI KABISA (NOT PAYING ATTENTION AT ALL) NA WENGINE WAKIANZISHA MIJADALA YAO PEMBENI NA MAJIRANI ZAO VITINI.

AMA

ITV wametoa picha mbaya (poor Video production) ya kuunga picha ambayo Rais anatoa maelekezo wakati picha ya Mawaziri ni ya wakati mwingine pengine wakiwa wanapumzika na kunywa.

AU

Baadhi ya Mawaziri wamejisahau na kuleta mazoea hata katika vikao muhimu vilivyoitishwa na mkuu aliyewateua na kuwaapisha mbele ya Watanzania.

N.B Endeleeni kuangalia ITV nadhani watairudia unless waitoe au wairekebishe na nitakuja juu wakiirekebisha bila kuomba msamaha kwa usumbufu waliousababisha!
 
ITV Hawana kosa tatizo liko kwa hao ambao hawakuwa wakisikiliza....mkuu wa kaya kazi anayo!
 
Nimeshangaa sana. ITV imeonesha Mh. Rais anatoa maelekezo na ufafanuzi muhimu kwa Baraza la Mawaziri & Manaibu wao HUKU BAADHI YAO WANAONEKANA HAWANA HABARI KABISA (NOT PAYING ATTENTION AT ALL) NA WENGINE WAKIANZISHA MIJADALA YAO PEMBENI NA MAJIRANI ZAO VITINI.

AMA

ITV wametoa picha mbaya (poor Video production) ya kuunga picha ambayo Rais anatoa maelekezo wakati picha ya Mawaziri ni ya wakati mwingine pengine wakiwa wanapumzika na kunywa.

AU

Baadhi ya Mawaziri wamejisahau na kuleta mazoea hata katika vikao muhimu vilivyoitishwa na mkuu aliyewateua na kuwaapisha mbele ya Watanzania.

N.B Endeleeni kuangalia ITV nadhani watairudia unless waitoe au wairekebishe na nitakuja juu wakiirekebisha bila kuomba msamaha kwa usumbufu waliousababisha!
duh!!!!
kumbe siyo slaa pekee, hata wateule wake hawamkubali!!! lol
 
Poa tu, mkuu sasa wewe ulitaka ITV wachakachue? Tatizo sio la ITV au rais aliyekuwa akiongea.
 
Nakubali tatizo sio ITV(hilo sina mjadala nalo), lakini napinga kwamba tatizo sio mkuu aliyekuwa akiongea.Tatizo ni yeye kuruhusu wateule wake kutompa heshima/attention anayostahili
 
duuuuuuuuuuuuuuuuuu joyce mwavile ajaipata nn hiii maana fasta tu watu wangepigwa chini jinsi huyo dada alivyokua mnoko.
 
Naomba nieleweshwe... kwani KILE KILIKUA KIKAO RASMI CHA BARAZA LA MAWAZIRI AU kama kawaida ya bro kupenda ujiko (kama ule wa ngurdoto 2005) aliita waandishi aonekana anachapa kazi? Na kama kaanza kazi rasmi, je VYOMBO VYA HABARI vinaruhusiwa kuingia katika vikao vya baraza? Na kama ndiyo, je na wao (WAANDISHI) wanapewa viapo kama vile vya mawaziri KUTOKUTOA SIRI ZA BARAZA LA MAWAZIRI? Maana si siri tena kama nchele wamwagwa azaran yakhe! Au mi ndo sielewi..... Sku iz lkn ngumu sana kuelewa mambo nchi hii, wala mi si kiraza ivo!!!!!
 
Unajua bado wanafuraha ya kuteuliwa sasa hata usikivu wao n i mdogo sana!!!!
 
siddhan kama kile kilikua kikao rasmi,labda walikua wameitana kuvunja kamati iliyowasaidia kuchakachua uchaguzi na wao kupewa fadhila za ma ujiko ya vyeo..

Waangalie cabinet meetings za nchi zengine,viongozi hata simu zao za mkononi huziacha nje,no media no wat,hulishwa viapo kutotoa siri n.k, sasa sie eti cabinet meeting ina hadi waandish wa habari tena wa vyombo binafsi???
 
Hata mi sikuipenda ile habari lkn mi nadhani ni editing ya ile habari ilikuwa mbaya maana isingewezekana bosi wao anaongea then na wao waanzishe mijadala.
 
Kuna uwezekano kuwa mkutano huo ulikuwa wa faragha, lakini waandishi waliruhusiwa kupiga picha kabla ya kuanza kwake wakati ambapo waheshimiwa walikuwa wanchat , na baadaye watu wa habari wa ikulu walirekodi clip ndogo ya hotuba ya JK (waliyoichagua) na kusambaza katika TV station, AMA waandishi wa Ikulu walitoa video hiyo na clip ya hotuba huku kukiwa na kasoro hizo...
 
Ndiyo utamaduni wa watanzania. Ninyi huwa haamwoni katikati ya kikao cha bunge wakati hoja nzito inapojadiliwa baadhi ya wabunge utaona wanauchapa usingizi kama kawa!!!!!! Hiyo ndiyo bongoland, hata kwenye kikao kikubwa kama hicho kinachoamua mambo mazito ya nchi wajumbe wanaendelea kukumbushana mambo ya jana kwenye maeneo yao ya starehe na wengine wanauchapa usingizi.
 
Hiyo ni ishara kuwa hawamtambui kama ni rais maana wanajua ameingia kwa kura za wizi. Hawawezi kumheshimu. Pili hana point ndio maana mtu huwezi kumsikiliza mtu anayetoa pumba
 
Actually I think we should "thank" ITV for portraying this unprofessional behavior of some cabinet members; yaani wametusaidia kuona picha halisi ya hawa wababaishaji wa nchi; given the fact that ITV is pro CCM I am sure hata wao hawakuona mbali-kwamba it will have a negative implications for the people. Maana wanafikiri Watanzania ni wajinga tu, kwamba they will not analyze and interpret things....we have changed, but this time for the good of ourselves and for our country
 
Binafsi sijafurahishwa kabisa na tabia ya mababa makubwa yanatafuna bazoka wakati raisi anaongea. Ni ukosefu wa adabu na lack of table manners(hata kama walikuwa kwenye chakula).
Hii si mara ya kwanza naona tabia hii, hata bungeni utakuta mawaziri mara nyingi wanaongea yao tu na kugonga. Huwa inaniuma sana, wanapaswa kuwa na adabu kuonesha kwamba wanatuheshimu hata kwa mda wa dakika chache tu wakiwa bungeni au mikutanoni. Mimi nadhani wanapaswa kufundishwa adabu. Kwa maoni yangu warusi shule ya msingi wakafunzwe adabu maana shule walizokwenda inaonesha hawakufundishwa adabu kabisa.
Mungu atusaidie kwa picha hii waliyoonesha.
 
Joka la Kibisa hamna anayeliogopa kwani halina madhara yoyote

Back
Top Bottom