LUBEDE JF-Expert Member May 7, 2013 4,312 6,638 Dec 12, 2018 #1 Baadhi ya picha zinazo onyesha mandhali ya IRINGA kwa sasa...
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 92,227 113,584 Dec 12, 2018 #3 Hiyo picha ya pili hapo siyo Kalenga West Park motel kweli?
LUBEDE JF-Expert Member May 7, 2013 4,312 6,638 Dec 12, 2018 Thread starter #4 Nyani Ngabu said: Hiyo picha ya pili hapo siyo Kalenga West Park motel kweli? View attachment 965586 Click to expand... kalenga ni hiyo kwenye picha ina bodaboda kwa nje mkuu
Nyani Ngabu said: Hiyo picha ya pili hapo siyo Kalenga West Park motel kweli? View attachment 965586 Click to expand... kalenga ni hiyo kwenye picha ina bodaboda kwa nje mkuu
mtwa mkulu JF-Expert Member Sep 11, 2013 8,098 9,994 Dec 12, 2018 #5 Ilinga kwetu kwinoga! Kugenda kwetu Molimoli
The Icebreaker JF-Expert Member Feb 11, 2018 18,158 51,084 Dec 12, 2018 #7 Unaonekana ni mji msafi sana,Good.
Bilionea kid JF-Expert Member Oct 19, 2018 581 516 Dec 13, 2018 #8 Mbona sioni mdudu pendwa kutoka iringa?? 🙄🙄🙄🙄
born again pagan JF-Expert Member Apr 28, 2014 2,336 1,482 Dec 13, 2018 #10 mussa mashala jr said: lengo la hii thread ni nini Click to expand... Hivi unajua upo jukwaa gani?
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,416 Dec 13, 2018 #11 Iringa ni kuzuri sana. Ila picha zako zinaonyesha mji kama umepooza vile. Zile mishe mishe zake hazipo. Watu wachache sana mitaani.
Iringa ni kuzuri sana. Ila picha zako zinaonyesha mji kama umepooza vile. Zile mishe mishe zake hazipo. Watu wachache sana mitaani.
Yesu Anakuja JF-Expert Member Apr 10, 2019 9,473 19,265 Jan 14, 2021 #12 Iringa ni kuzuri sana. home sweet home.