Picha mbali mbali nikiwa nchini Somali Land.... kuna umuhimu wa Somalia kujiunga SADC na EAC...

Eti "Nikiwa nchini Somalia" wakati we gine hizi picha tumeziona miaka miwili nyuma. Na nyengine ni capture kutoka kwenye video ya wale waliokuwa wakicheza wimbo wa Ali kiba!
Kuna watu humu kazi zenu kuchekesha na kudanganya watu tu hamna uhalisia
 
Oriental Hotel
46768363_458312694696487_3185132379320614912_n.jpg
 
Ndio wewe mwenyewe Waziri wa Kaskazini?. Mbona sio wewe,huku unaongea saaana. Kweli una msambwanda. Japo na wewe unauringia. Picha ya pili kama una matako mawili mawili,juu mawili na mawili mengine kwa chini kidogo. Ila kiujumla u mzuri. Hongera
 
Hua nashangaa Tanzania sijui mibonge nyanya mnaipendea nini. Yaani naona ni full diabetes na heart attack zinetembea njiani. Em jiangalieni sana afya ni kitu cha muhimu, msipende majibonge sio afya, kula balanced diet, fanya mazoezi period. Heart diseases ni number one killer kwenye nchi nyingi sana.
 
Macho ni kiungo cha ajabu sana!, yanaweza kukupumbaza yakakuondoa ufahamu ilimradi yamelidhika, unakuwa mpumbavu hivi hivi.
 
Back
Top Bottom