PICHA: MBAGALA ILIVYOKUWA LEO, MABOMU;Vurugu bila busara kutumika si-rahisi;Makanisa 3 ya yavunjwa ?

Mtoto wa Kiislamu: " mtu yeyote atakayechezea quraan majini yatamuua hapo hapo"
Mtoto wa Kikristo: "mimi naweza kuukojolea na hakuna jini litakalonifanya chochote"
Mtoto wa Kiislamu: "kojolea tuone, kojolea sasa, mbona unaogopa..kojolea"
Mtoto wa kikristo: "Flup chwarararaarararararararara"
Mara pu pu pu mpaka polisiiiiiiii
Baadhi ya waislamu mbagala: "haiwezekani, huuuwii, wakristo wametutukana, walutheri na wa TAG na Wasabato na wakatoliki wametutukana, wamekojolea msaafu. Kwanza lete hako katoto tukaue."

Mara choma makanisa, choma vyombo vya muziki, pasua vioo.........

Hii inaonyesha baadhi ya waislamu wana hamu sana ya kushambulia wakristo, makanisa yao na mali zao. Wanangoja sababu kidogo tu.

Funzo kwa watoto wa kikristo wanaopenda ubishi:" ukichezea msaafu ni kweli kuna uwezekano wa kuuawa, lakini siyo kuuawa na majini bali kuuawa na waislamu wenye hasira kali."

Teh teh teh!
 
Ukitafakari kwa makini kisa hiki utagundua kuwa kuna sababu nyingi zilizopelekea hii reactio ya waislamu na hasa ukizingatia kitendo hichi kimefanywa na mtoto mdoga wa miaka 14 tena ktk ubishani unaodaiwa kuwa ni wa kitoto kabisa.Ni jambo ambalo lingiweza kupuuzwa na watu wazima kwa kumdharau yule mtoto.

Waislamu wamekuwa na madai mengi ambayo wanaona hayatekelezwi kwa namna wao wanavyotaka.Kwahiyo jambo lolote linapotokea lenye kuudhi uislamu basi huamua kumalizia hasira zao kwenye tukio hilo.Waislamu wa Tanzania ni tofauti na wale wa uarabuni ambao chuki zao siku zote ni dhidi ya watu weupe pale linapokuja swala la uislamu.Wanaamini watu weupe hasa wamarekani ni maadui wa uislamu lakini kwa hapa kwetu Tanzania hali ni tofauti miongoni wa wakristo na waislamu kwa maana ya kwamba chuki zilizopo ni matokea ya upande mmoja kuona hautendewi haki ktk mambo fulani.

Kwa maana hiyo reaction ya waislamu wa bongo ina "motive" tofauti na ile ya waarabu.Viongozi mliopo madarakani tatueni matatizo haya vinginevyo chuki hizi zinazidi kukomaa na kuota mizizi.

Matatizo ya kidini hapa kwetu ni sawa na kasoro za muungano ambazo siku zote hazipatiwi ufumbuzi na badala yake matatizo/kasoro hizo huishia kupigwa dana dana tu.
 
Najiuliza kama waislamu wanachukia wakristo au mali za wakristo, kama wanachukia wakristo kwanini wachome makanisa na kuharibu mali zao ilhali wanawajua wakristo na wengine wanaishi nao mbona hatusikii wakiwapiga, naamini kabisa kati ya hao waandamanaji wapo waliopanga katika nyumba za wakristo na wapo waliowapangisha wakristo mbona hawachapani?
Naungana na baadhi ya wachangiaji wengine kuwa ni wivu ndio maana wanaharibu mali za wakristo.
 
Mkuu swala sio nani kafanya nini isipokuwa swala ni wewe kujiuliza kwa nini unachukua Upande?..Wewe mwenyewe umeshaona kosa moja sii kosa isipokuwa jingine na kwa kutumia karata ya Udini. Mimi nawasoma nyote humu kila mmoja wenu anavutia dini yake wakati hizi ndizo sababu zilizotufiisha hapa tulipo...

Hivi inafikia nini kijana kukojolea Kuruan? Unapofundisha watoto wako na kuwaambia Uislaam ni dini ya SHETANI unategemea nini mtoto wako atafanya kesho?. Je, inakuwaje vijana wengine wakachome makanisa na sio kuitaka sheria maana wamefundishwa wakristu ni Makafir tu.. Kwa nini vita vianze kwa kutazam nani kavaa kanzu, hijabu na mwenye sigda usoni kuwa alama ya mwenza au adui - UDINI. Kama mlikuwa hamjui UDINI huwa hauna logic wala mantiki basi ndio leo mtafahamu..Endeleeni na matusi yenu lakini mfahamu ya kwamba mnakaribisha na kupandikiza mbegu mbaya sana. Sitoshangaa kama haya mambo hayajaisha bado kiporo..

mm ni mkristu na mpka umri wangu huu sijawah kukaa kanisan nkasikia mhubiri akitaja ama kukashifu dini nyingine kabisa,hata kwenye mihadhara (mahubir) sijawah sikia wakristu wakichambua imani za kiislamu kama wao wafanyavyo hadharan,,na wala sijasikia wakristu wakienda kuchoma misikiti kwa sababu ya kuitwa makafiri hadharan,,,,am glad!tunafundishwa upendo
 
mkuu ulieleta huu muktadha naomba uondoe NENO WAISLAMU HAO WALIKUWA NI WAHUNI TUU NA SIO WAISLAMU WENYE AKILI TIMAMU HATA PICHA ZINAONYESHA......NAOMBA WATU WAELEWE HAO WALIKUWA NI WAHUNI WA MTAANI NA SII WAISLAMU NA DINI HII SIKU ZOTE NI KUHUBIRI AMANI
 
duh,huu ni uchokozi sasa dhidi ya uislamu!huyu dogo kawabipu waislamu nao wameamua kupiga kabisa, mmh!!
 
Waisilamu wanacho kiamini na kukiabudu ndicho chanzo cha kuharibu ufahamu wao.

Nakubalina na wewe kwa 101%! Inakuwaje mtu aki-prove uwongo mbele ya macho yako utake kumu-ua? Anyway mtu mmoja kakukosea, inakuwaje kwenda kuharibu chochote cha watu wengine? Ujinga nao ni mzigo!

Mtu akifungwa ufahamu, anakuwa na mzigo wa ujinga na asijitambue!
 
mm ni mkristu na mpka umri wangu huu sijawah kukaa kanisan nkasikia mhubiri akitaja ama kukashifu dini nyingine kabisa,hata kwenye mihadhara (mahubir) sijawah sikia wakristu wakichambua imani za kiislamu kama wao wafanyavyo hadharan,,na wala sijasikia wakristu wakienda kuchoma misikiti kwa sababu ya kuitwa makafiri hadharan,,,,am glad!tunafundishwa upendo
Mkuu wangu sio swala la wewe kutooona wala kusikia isipokuwa umepandikiza nini nyumbani kwako ama kutapandwa nini huko ktk misikitini na makanisani, majukwaa ya siasa, mitandao na kadhalika. Hata miye sijawahi kusikia msikitini Sheikh akiiukashifu Ukristu lakini najua wapo Masheikh na misitiki wanafanya hivyo, na majua fika wap[o Mapadre wanaoukashifu Uislaam na kuuita dini ya Mashetani. Sijawahi kusikia muislaam akikojolea mkojo Biblia..

Haya yote ni matokeo ya kile tulichopanda sisi wenyewe mbona mabo haya hayakuwepo wakti wa Nyerere?..iwejje ghafla kumetokea CHUKI kubwa baina ya Waislaam na wakristu pasipo kuwepo na sababu. huyu kijana alokojolea Msahafu ni sababu ndogo tu ilokuwa ikisubiriwa, na sasa imepatikana hoivyo hata huyo Sheikh alosema watu wangetumia Busara hakujua ya kwamba inapofikia kiwango hiki busara hazitumiki tena. NI sawa na mtu kakutukania mamako wakti wewe siku nyingi sana unamtafuta ubaya. Akikupa sababu tu unaweza mrushia ngumi ya Uso na hata kumkatakata kwa Mapanga...Kumtukana mama yako haikuwa sababu hasa isipokuwa nyuma yake kuna hoja kubwa zaidi - CHUKI

Jamani jamani nilishasema sana kuhusu hali hii ya kwamba hata mitume wetu iwe Yesu au Muhammad waliwafuata watu wasioamini na kuwavuta ktk imani ya dini. Hawakuwaita majina ya ajabu wala kukashifu imani zao isipokuwa kuwaelekeza njia ilo sahihi. sasa kama utaukashifu Uislaam au Ukristu unategemea kweli utaweza kumvuta muumini unayehitaji aokoke?. Hivi siku hizi DINI imekuwa ya WATU? imefikia mahala binadamu wana own dini badala ya Mwenyezi Mungu nasi tunatakiwa kufundishana yaliyoongoka! hee?. Utaweza vipi kufuta UJINGA ikiwa wewe mwalimu unamdharau MJINGA?..utathaminika vipi kama mwalimu au mchungaji ilhali unaotaka kuwafundisha huwapendi..I mean tumeichukua dini kusiko kabisa na hakika sitoshangaa kwa nini nchi zetu Maskini..Hizi dini sio dini zilizoachwa na mitume ni dini za binadamu tulozitunga sisi wenyewe..
 
Saa Nyingine hizi habari zetu zinakuwa One SIDED zinatia kichefu... Sasa kama Mwandishi ameandika Makanisa 3; Yalibomolewa mbona hakuweka hizo picha ? Ni Uandishi au Ushabiki ?* Maisha yetu yoote tuliyoishi Tanganyika; Utotoni hadi Ukubwani, hatujawahi kuwa na UBISHANI wa AINA HII Wa kuingilia VITABU VITAKATIFU; NI WAZAZI; SHULE ZETU; MAZINGIRA YETU YA SASA; AU UMBALI wa SERIKALI yetu Kwa Wananchi ?
makanisa hayo yameonyeshwa laivu kwenye tv yame bomolewa. nani atalipa garama ya kuyakarabati? ni hao magaidi watachangia kukarabati uharibifu huo ? mmetumwa na shetani nini?
 
nimeangalia picha hasa hii ya baba wa mtoto mwenye quran kwa makini, hitimisho langu ni kuwa hili ni tukio lililopangwa siyo spontaneous, huyo baba wa quran ya kukojolewa anaonekana ni uamsho na kuna uwezekano mkubwa hili tukio limesukwa kwa makusudi kuendeleza juhudi za makusudi za kuipasua jamii makundi makundi na kuleta kutoelewana kwa wanajamii ili kurahisisha usilimishaji wa JMT. Hapa mpango mzima ni kutenga jamii ya kiislam kutoka kwenye jamii ya kitanzania na kuanzisha vita isiyokoma kati ya waislam na wasio waislam hadi pale wasiowaislam watakapo toweka kabisa. Huu ni mpango wenye ufadhili wa nje na ni janga kubwa la Tanzania na waafrika weusi. Huyo mtoto aliyekojoa ameingizwa kwenye mtego wa hila bila yeye kujitambua, huyo mtoto mwingine aliyejifanya rafiki yake na kumwingiza kwenye huu mtego anasiri kubwa ya kuwaambia watanzania.
 
makanisa hayo yameonyeshwa laivu kwenye tv yame bomolewa. nani atalipa garama ya kuyakarabati? ni hao magaidi watachangia kukarabati uharibifu huo ? mmetumwa na shetani nini?

Yeah; Nimeona PICHA zingine zimewekwa kwenye sehemu hiyo ya JAMII PHOTO's nimeona KANISA LIKIWAKA MOTO... Pardon my Interruption...
 
Nakubaliana na jinsi unavyoangalia kiupande Mwingine... Lakini nimesema kuna sababu watoto wa Miaka 14 kuwa na upotofu na udhaifu wa kuelewa UMUHIMU wa VITABU VITAKATIFU; Mimi nikiwa na Miaka 14; Tanganyika nilikuwa Form 2 FORODHANI SECONDARY... Sasa Uniambie Masuala kama hayo hao VIJANA walikuwa wanayaongelea kweli ni kosa kubwa; kama nchi yetu kweli ndio inakuza Mambumbumbu kiasi hicho; kweli hizo SHULE za KATA na SERIKALI zifungwe; tujue kama KENYA PRIMARY EDUCATION is PRIVATE; Huyo mtoto wa Miaka 14 haujui anaweza kuzaa MTOTO ?

Kweli imani ni upofu mkubwa sana.
Kwahiyo mtoto akizaa mtoto yeye anakuwa mtu mzima?

Mkuu, kuna jamaa yangu mmoja aliwaambia waandishi wa habari wengi ni makanjanja....hakukosea.
 
Kweli imani ni upofu mkubwa sana.
Kwahiyo mtoto akizaa mtoto yeye anakuwa mtu mzima?

Mkuu, kuna jamaa yangu mmoja aliwaambia waandishi wa habari wengi ni makanjanja....hakukosea.

Oh BOY Oh BOY... Nimetolea Mfano JINSI AKILI ya HUYO MTOTO Mwenye Miaka 14; Sio Mtoto ambaye hawezi au hata kama ni KUBISHANA hawezi kujua UMUHIMU WA VITABU VITAKATIFU; Sijatamka kuwa ni MTU MZIMA nina Sema ya kuwa ni MTOTO angeweza kuelewa UTOFAUTI...

Na SIJUI hio unayoita MAKANJANJA... Nimeondoka Tanganyika MUDA MREFU SANA Kama ungetaka pia nishiriki kwenye Hiyo hoja Ungejaribu kulifafanua hilo neno MAKANJANJA !!!
 
Ukitafakari kwa makini kisa hiki utagundua kuwa kuna sababu nyingi zilizopelekea hii reactio ya waislamu na hasa ukizingatia kitendo hichi kimefanywa na mtoto mdoga wa miaka 14 tena ktk ubishani unaodaiwa kuwa ni wa kitoto kabisa.Ni jambo ambalo lingiweza kupuuzwa na watu wazima kwa kumdharau yule mtoto.

Waislamu wamekuwa na madai mengi ambayo wanaona hayatekelezwi kwa namna wao wanavyotaka.Kwahiyo jambo lolote linapotokea lenye kuudhi uislamu basi huamua kumalizia hasira zao kwenye tukio hilo.Waislamu wa Tanzania ni tofauti na wale wa uarabuni ambao chuki zao siku zote ni dhidi ya watu weupe pale linapokuja swala la uislamu.Wanaamini watu weupe hasa wamarekani ni maadui wa uislamu lakini kwa hapa kwetu Tanzania hali ni tofauti miongoni wa wakristo na waislamu kwa maana ya kwamba chuki zilizopo ni matokea ya upande mmoja kuona hautendewi haki ktk mambo fulani.

Kwa maana hiyo reaction ya waislamu wa bongo ina "motive" tofauti na ile ya waarabu.Viongozi mliopo madarakani tatueni matatizo haya vinginevyo chuki hizi zinazidi kukomaa na kuota mizizi.

Matatizo ya kidini hapa kwetu ni sawa na kasoro za muungano ambazo siku zote hazipatiwi ufumbuzi na badala yake matatizo/kasoro hizo huishia kupigwa dana dana tu.

Not true! Wanachotaka waislamu ni kufuta dini nyingine zote mahali popote walipo wao na hasa idadi yao (waislamu) inapokuwa kubwa. Swali rahisi tu: kila kukicha pale Misri wakristo wa madhehebu ya Coptic huuwawa na kuchomewa nyumba zao za ibada na waarabu wenzao (waislamu). Je, hapa napo umarekani unaingiaje?

Tofauti na ilivyo katika nchi zenye idadi kubwa ya wakristo ambako dini zote zina uhuru wa kuhubiri na kujitanua ni kinyume kwa nchi za kiislamu ambako ni kosa kuonekana hata na maandishi ya dini tofauti na uislamu.
 
Oh BOY Oh BOY... Nimetolea Mfano JINSI AKILI ya HUYO MTOTO Mwenye Miaka 14; Sio Mtoto ambaye hawezi au hata kama ni KUBISHANA hawezi kujua UMUHIMU WA VITABU VITAKATIFU; Sijatamka kuwa ni MTU MZIMA nina Sema ya kuwa ni MTOTO angeweza kuelewa UTOFAUTI...

Na SIJUI hio unayoita MAKANJANJA... Nimeondoka Tanganyika MUDA MREFU SANA Kama ungetaka pia nishiriki kwenye Hiyo hoja Ungejaribu kulifafanua hilo neno MAKANJANJA !!!

Tanganyika ndio wapi?
Tuanzie hapo kwanza, ili tujue wewe ni kanjanja au sio kanjanja.
 
Back
Top Bottom