Picha matukio: Ziara ya BAVICHA Mkoani Mpanda iliyomliza (PM) Pinda

Hawa mafisadi hakika hawaponi kwa hali hii na wakipona Mi ntakuwa na la cha kusema!
Natamani 2015 iwe sasa sita usiku wa baadae!


M4c iendelee mpk kieleweke!
 
Mbio za sakafuni, halafu heche naona shavu limekubali, hizi posho ni tamu kweli.
 
Safiiiiiiiii makamanda hakunaa kulala mpaka kielewekeeee Peoples peoples power 2015 lazima tuwakoboe wauaji,wezi,mafisadi,wateka nyara na waeneza mgawanyiko wa dini ole wenu
 
Hata mimi sijamsikia tena tangu siku alipotoa tamko la shibuda. Lakini yuko busy kwenye mafesibuku si unajua kule ndiko kimbilio la wengi wasioweza mikiki mikiki.

Ni kweli mkuu.Viongozi wa Bavicha wanafanya kazi nzuri sana.
 
​sio kama za nape mpaka kapata pesa ya kujichubua posho kweli tamu nape kitambi kinazidi na rangi yake ni zebra siku hizi black body and white face.
Mbio za sakafuni, halafu heche naona shavu limekubali, hizi posho ni tamu kweli.
 
Mbio za sakafuni, halafu heche naona shavu limekubali, hizi posho ni tamu kweli.

yule nape kimbaumbau wa kipindi kile humsemi,unamwona heche tu........pumbuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuf ooooh sorry pumbaaaaaaaaaaf
 
kAZI nzuri makamanda...........HECHE endelea mkuu.kuhusu posho " HUSIMFUNGE KINYWA PUNDA APURAPO NAFAKA''
 
Makamanda kuweni makini na mvua na radi za kutengeneza huku mpanda tunawahitaji sana.
 
?sio kama za nape mpaka kapata pesa ya kujichubua posho kweli tamu nape kitambi kinazidi na rangi yake ni zebra siku hizi black body and white face.
Kwani kujichubua ni jambo la ajabu bongo? Si ajabu hata wewe uko kwenye kundi hilo hilo.
 
Jamani picha ni nzuri sana. Mwenye uwezo wa kuzikuza atusaidie tuzione vyema.
 
Kazi nzuri sana Bavicha.
Hii inadhihirisha tofauti kubwa iliyopo kati ya vijana wa Chadema na wale wa ccm.
Umati wa watu uliokuwa ukijitokeza katika mikutano yao ni dalili tosha kwamba sasa vijana wameiva, wanaaminika kwa wazee, vijana na akina mama, na kwamba sasa wako tayari kuitumikia nchi na wananchi wake.
Pongezi za dhati kabisa kwa John Heche (mwenyekiti) na Deo Munisi (katibu). Mungu awabariki sana makamanda.
 
MMh Vijana wa Bavicha kweli wamekomaa kama wanaweza kukomandi audience kubwa hivyo duh wananchi wameanza kuelewa sanaa tuu ukombozi ni sasa

si kukomaa tu bali watanzania wanapewa hoja zilizokuwa zinafichwa kwa mstakabari yao, hasa kuwaletea maisha bora.Ni mika mingi sasa ccm baada ya kuona imeshindwa kutekeleza sera zake na kukumbatia matajiri huku wakiwaacha wanyonge hawana mtetezi .Ghiriba ndo imekuwa sera ya ccm.masiha bora kwa kila mtanzania.Hivi ni kweli?leo mfumko wa bei uko juu, bei za mafuta ziko palepale zikitelemka ni asilimia 10%, upungufu wa chakula wakati tuna mabonde mengi , mito mingi, na nguvu kazi kubwa.Vijana wa cdm, wanawafungua macho wananchi badala ya ghiriba.Ukitaka kuona nchi wakuu imewashinda,kupata majibu yenye suluhu serikali ya ccm haina bali, ubabe.
 
kamanda Heche unatisha hapa SUMBAWANGA umeacha gumzo na ulikuja wakati mzuri baada ya akina nepi a mawaziri kuchemsha hapa hogera chadema.
 
Makamanda kuweni makini na mvua na radi za kutengeneza huku mpanda tunawahitaji sana.

Du hii kali, Sasa hii sayansi kwa nini isitumike kukomesha tatizo la chakula na upungufu wa maji? kama watu wanaweza tengeneza nvua na kweli ikanyesha, kwa nini hii sayansi isiwekwe wazi?
 
Back
Top Bottom