PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

Hao ni wanachama, naamini shida kubwa tatu kwa sasa unazifahamu;
1.Mfumko wa bei
2.Umeme
3. Maji.

Hayo yanatakiwa yatafutiwe ufumbuzi wa haraka. Au nimeongopa boss mkurugenzi??
 
CHADEMA mnateseka sana endeleeni kuota ndoto
Hatuwezi teseka na Chama maiti.
Chama kisichoweza kusimama kwenye chaguzi na kupigiwa kura na wananchi kinatesa namna gani?!
au unaamanisha, Wizi wa masanduku ya kura kwa nguvu ya majeshi yanaolipwa na kodi zetu, kama ulikua una maana hii sawa.
 
Hakuna uhalisia hapo,uongo uongo mabango yameandaliwa na wachumia tumbo.

Kwa jinsi maisha yalivyobana mwananchi hawez kukumbuka kuandika mabango tena kwenye karatas ya gharama
Karatasi na Karamu hizo tatu tofauti zilizotumika ni zile za mikutano ya ndani hotelini / Conferences meeting.

Chama maiti wamekataliwa Duniani na Mbinguni.
 
Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan,

Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu maendeleo endelevu,Furaha ni kubwa zaidi kuona vijijini wanachi walivyohamasika katika kuendelea kuiamini na hatimaye kuichagua CCM-Tanzania,Hakuna kama Samia

Wao wanao umeme wao na maji yao 24/7, wanayo furaha. Waache waenjoy
 
Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan,

Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu maendeleo endelevu,Furaha ni kubwa zaidi kuona vijijini wanachi walivyohamasika katika kuendelea kuiamini na hatimaye kuichagua CCM-Tanzania,Hakuna kama Samia

Tuko pamoja, Pigeni kazi
 
Back
Top Bottom