Picha: Mama Lowassa afanya kufuru Iringa Mjini

Katika vitu ukawa wanajisahau ni Kutoa Elimu ya kupigia kura maana kuna watu wana hasira ila hawajawahi.kupiga kura

Ccm wanafanya hivyo ila sisi hatutoi Elimu

kama uko mwanza inabidi elimu hii uwe unaijua. Hiindo kazi ninafanya na wenzangu jinsi ya kupiga na kukunja. Uko pansiasi tutafika soon subiri tumalize sehem fulani
 
Yani mume anangurumisha geita mke yuko busy na Iringa!!!

Nasema tena na tena NIKIPATA MSICHANA MWENYE TABIA KAMA HUYU FIRST LADY WETU MTARAJIWA mimi na ubachela tunaachana!!!
Mimi kama mjomba wa binti tutakuruhusu kama wewe ni mwana UKAWA…magamba wasahau kabisa watabaki kuona ktk picha tu
 
Mleta mada hii, sijui ni mtanzania au? inashangaza sana mke wa mtu kumwita mama yake. Hivi watanzania mnakipeleka wapi kiswahili chetu? Huyu ni mke wa Lowassa na si Mama Lowasa. Hili limekua tatizo sugu hapa tanzania kwa watu kuwaita wake za viongozi mama zao. Hebu jamani tuoneshe basi kuwa tanzania ndo chimbuko la kiswahili kwa kukienzi. Hainiingii akilini mke wa kiongozi kumwita mama yake! shame on you.
 
Tumekubaliana tangu zamani kutumia "mama"badala ya "Bi" kama tafsiri isiyo rasmi ya neno la Kiingereza "Mrs" baada ya kuwepo na maneno kama "Bi mkubwa" na "Bi Mdogo" kumaanisha pia mke mkubwa au mdogo yaliyoleta mkanganyiko kwenye jamii! Na wakati mwingine pia "Bi" ilitumika kumaanisha mwanamke asiyeolewa au "Miss" kwa Kiingereza!

Kwa ivo wanaomwita Mke wa Lowassa Mama Lowassa hawakosei, isipokuwa kama ungesema kuita ivo kunamaanisha ni mama yake Lowassa na wala siyo mke wake! Hapo ningekuelewa.
 
Malofa hamueleweki na mna double standard za hali ya juu. Mambo hayo alipoanza kuyafanya Salma Kikwete, hamkuisha kupiga kelele kuwa anageuza urais kuwa suala la kifamilia. Leo anayafanya huyo lofa mwenzenu, mnaona sawa. Akienda kuanzisha taasisi ya "MOMA"huko mnakotaka kumpeleka, sjui mtalalamika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom