Picha:makao makuu ya ccm yatakavyokua

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
148132_439309526128434_1054663705_n.jpg

Hivi ndivyo makao makuu ya ccm yatakavyokua yakionekana ujenzi utakapokamilika,kutakua na malls na activities mbalimbali ikiwemo kumbi za mikutano,kiufupi kitakua ni kitega uchumi cha chama
 
hawa jamaa hawatakaa na kuuacha unafiki na upuuzi.
Kama kweli wako serious kwanza waje hapa Bukoba wakamalizie jengo walilolitelekeza miaka karibia 20 sasa! (karibu na Kaitaba Stadium)
Pia waende Tabora wakamalizie uwanja wa michezo wa Ali Mwinyi au basi waende kule Msimbazi SUKITA wakaangalie magofu ambayo hayakuwa hata kutumika kwa jina la 'hoteli za kitalii'!
 
Hilo jengo lilijengwa kwa makato kutoka mauzo ya kahawa, kupitia KCU kila mwaka walikuwa wanakata sh.1 kwa kilo na jengo haliishi hadi wakulima waliposhtuka na kukataa.
 
#Mnatumia pesa zipi au ni hizo za kifisadi!

..., marejesho ya EPA, RADAR, uoni kuwa mama Meghji karudi? Pia mauzo ya pembe za ndovu na twiga hai, pia madini kupitia kampuni ya meremeta, usisahau ule utaalam wa kuongeza siru kwenye manunuzi ya vitu vya serikali, n.k
 
Back
Top Bottom