KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Hivi ndivyo makao makuu ya ccm yatakavyokua yakionekana ujenzi utakapokamilika,kutakua na malls na activities mbalimbali ikiwemo kumbi za mikutano,kiufupi kitakua ni kitega uchumi cha chama
Looking out through the same bars, one sees mud and the other see the stars.
Its like a well decorated grave, ndani ni maiti.
Looking out through the same bars, one sees mud and the other see the stars.
Its like a well decorated grave, ndani ni maiti.
hawa jamaa hawatakaa na kuuacha unafiki na upuuzi.
Kama kweli wako serious kwanza waje hapa Bukoba wakamalizie jengo walilolitelekeza miaka karibia 20 sasa! (karibu na Kaitaba Stadium)
Pia waende Tabora wakamalizie uwanja wa michezo wa Ali Mwinyi au basi waende kule Msimbazi SUKITA wakaangalie magofu ambayo hayakuwa hata kutumika kwa jina la 'hoteli za kitalii'!
#Mnatumia pesa zipi au ni hizo za kifisadi!