jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,604
- 3,753
Nitampataje injinia aliyejenga hiyo jengo refu la dubai
800m+ Urefu?? Basement imezama mita ngapi kwenda chini?
Mm nikisimama tu kwenye 2nd floor napata kizunguzungu huko kwenye hayo magorofa yataka moyo.
Tumezoea matembe yetu.
Hapo sijajua ila ni nadra kuwa empty(kujaa nusu)Na yote yamejaa au vyumba bado vipo
Hata mimi nilivutiwa sana kujua hichi kitu, tuliowengi huwa tunafia kwenye ardhi yetu bongo bila kutembea nje za wenzetu hata kidogo.umetisha mzee, leo umenifuta matongotongo bila kujua!
Sijawahi otaNdio, siku ile wakati unaota hadi ukakurupuka ukadondoka kitandani
Niote nikekuwa raisiSiku ukiota ndio utajua ndoto ilivyo.
Ota ukiwa unakata gogo utanipa matokeo yake
Maana hiyo ndoto huwa haifeli....
Why? What is this all about?Umeelewa nlichokwambia lakini?? That is the power of Islam. Ukiskia miji mitukufu ndio ile sasa, hapaingii nguruwe kama wewe pale!