Nimekuelewa mkuu, mimi pia nilikuwa na idea hii ila wasi wasi ndio ukanifanya niulizeMimi sio mhandisi ila jibu rahisi ni kuwa urefu wa floor ndio unaleta hio tofauti.
Mfano jengo la Mita 100 floor zake ni 5m kwa urefu litakuwa na ghorofa 20, jingine Mita 96 floor zake zina urefu 4m hili litakuwa na ghorofa 24
Majengo ya siku hizi yanajengwa floor height fupi kupata more floorsNimekuelewa mkuu, mimi pia nilikuwa na idea hii ila wasi wasi ndio ukanifanya niulize
Nakuhurumia sana!Niende wapi? Hata hiyo SGR ya umeme inayojengwa ni prestige tu. Uchumi wetu bado hauwezi kumaintain miundombinu kama hiyo. Siyo mara ya kwanza sisi kujenga SGR kwa sababu hata TAZARA ni SGR tofauti ni kwamba yenyewe haitumii umeme. TAZARA hata kulipa mishahara wafanyakazi wake hatuwezi hadi Mchina huwa anatuokoa mara kwa mara.
Sijui hii mnayojenga kama Mturuki atakuwa anakuja kutuokoa tukikwama kuiendesha. Na sioni muujiza wowote kwanini uendeshaji wake usiwe kama TAZARA au BRT. Tuweke akiba ya maneno muda utaamua kama SGR ni viable project kwa sasa.
Ile reli aliyotuachia Mjerumani yenyewe pia imetushinda kabisa na kuna wakati ilikufa kabisa. Planner wetu walitakiwa walijue hili na kuchagua miradi ya kufanya kwa kutumia hekima na busara.
Uko sahihi KABISA, pia Mara nyingi urefu huo wa majengo hujumulisha pia sehemu ya juu kabisa ambazo huwa hazina watu/hawezi kaa (unhabitable floors) ambazo huwa Ni sehemu ya mnara au urembo TU wa jengo.....Mimi sio mhandisi ila jibu rahisi ni kuwa urefu wa floor ndio unaleta hio tofauti.
Mfano jengo la Mita 100 floor zake ni 5m kwa urefu litakuwa na ghorofa 20, jingine Mita 96 floor zake zina urefu 4m hili litakuwa na ghorofa 24
👍👍14 & 15. Petronas Twins Tower 1 & 2, yapo Kuala Lumpur(Malaysia)
Urefu mita 451.9
Floors 88View attachment 1094553
Pole sana! Hata kama huipendi ndio tayari ina-existNshapita kote kasoro Saudi Arabia, sipendi hiyo nchi balaa hata kwa risasi siendi.
Kwanza lilipo lile jengo sijui kama itatokea maishani mako kufika Pale. Pole sanaNshapita kote kasoro Saudi Arabia, sipendi hiyo nchi balaa hata kwa risasi siendi.
Kwanza lilipo lile jengo sijui kama itatokea maishani mako kufika Pale. Pole sana
Hata ukitaka huwezi kwenda, pale katika ile tower hapaingii nguruweNaona una mapenzi na saudi arabia.
Nendeni mkapigane mawe kwa sharia. Sihitaji pole yako kutotaka kwenda kwa wapuuzi wale, hata bure siendi.
Sitaki kwenda sasa unalazimisha?Hata ukitaka huwezi kwenda, pale katika ile tower hapaingii nguruwe
Umeelewa nlichokwambia lakini?? That is the power of Islam. Ukiskia miji mitukufu ndio ile sasa, hapaingii nguruwe kama wewe pale!Sitaki kwenda sasa unalazimisha?
Nenda kajiunge na alshabab wenzako stupid
MmhUmeelewa nlichokwambia lakini?? That is the power of Islam. Ukiskia miji mitukufu ndio ile sasa, hapaingii nguruwe kama wewe pale!
Anataka kunifungulisha tu
Wewe si ndiyo umemuanza? Siyo kila comment ujibu pal.Anataka kunifungulisha tu
Okey palWewe si ndiyo umemuanza? Siyo kila comment ujibu pal.
Kama imekuuzi unaipita kama haujaiona.