PICHA: Majengo marefu zaidi Duniani, Jengo la kwanza lipo Dubai(UAE), China yaongoza kuwa na majengo mengi marefu Duniani

Mimi sio mhandisi ila jibu rahisi ni kuwa urefu wa floor ndio unaleta hio tofauti.
Mfano jengo la Mita 100 floor zake ni 5m kwa urefu litakuwa na ghorofa 20, jingine Mita 96 floor zake zina urefu 4m hili litakuwa na ghorofa 24
Nimekuelewa mkuu, mimi pia nilikuwa na idea hii ila wasi wasi ndio ukanifanya niulize
 
Niende wapi? Hata hiyo SGR ya umeme inayojengwa ni prestige tu. Uchumi wetu bado hauwezi kumaintain miundombinu kama hiyo. Siyo mara ya kwanza sisi kujenga SGR kwa sababu hata TAZARA ni SGR tofauti ni kwamba yenyewe haitumii umeme. TAZARA hata kulipa mishahara wafanyakazi wake hatuwezi hadi Mchina huwa anatuokoa mara kwa mara.

Sijui hii mnayojenga kama Mturuki atakuwa anakuja kutuokoa tukikwama kuiendesha. Na sioni muujiza wowote kwanini uendeshaji wake usiwe kama TAZARA au BRT. Tuweke akiba ya maneno muda utaamua kama SGR ni viable project kwa sasa.

Ile reli aliyotuachia Mjerumani yenyewe pia imetushinda kabisa na kuna wakati ilikufa kabisa. Planner wetu walitakiwa walijue hili na kuchagua miradi ya kufanya kwa kutumia hekima na busara.
Nakuhurumia sana!
Pessimistic attitude naona inakusumbua.
Pia unashangaza sana unaposema eti SGR inavyojengwa ni prestige sawa na Benjamini Mkapa Tower.
Kwa taarifa yako (kama hujui, sijui utakuwa mtanzania wa wapi), reli ya kati ni usafiri tegemeo kwa wananchi walio wengi (mamilioni) wa bara na nchi jirani. Ni kitega uchumi chenye masilahi makubwa sana kwa nchi kuliko hayo magorofa marefu unayolilia.
Wewe nakuona u miongoni mwa wale wanaopinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 5.
 
Mimi sio mhandisi ila jibu rahisi ni kuwa urefu wa floor ndio unaleta hio tofauti.
Mfano jengo la Mita 100 floor zake ni 5m kwa urefu litakuwa na ghorofa 20, jingine Mita 96 floor zake zina urefu 4m hili litakuwa na ghorofa 24
Uko sahihi KABISA, pia Mara nyingi urefu huo wa majengo hujumulisha pia sehemu ya juu kabisa ambazo huwa hazina watu/hawezi kaa (unhabitable floors) ambazo huwa Ni sehemu ya mnara au urembo TU wa jengo.....
 
Nshapita kote kasoro Saudi Arabia, sipendi hiyo nchi balaa hata kwa risasi siendi.
 
Kwanza lilipo lile jengo sijui kama itatokea maishani mako kufika Pale. Pole sana

Naona una mapenzi na saudi arabia.
Nendeni mkapigane mawe kwa sharia. Sihitaji pole yako kutotaka kwenda kwa wapuuzi wale, hata bure siendi.
 
Umeelewa nlichokwambia lakini?? That is the power of Islam. Ukiskia miji mitukufu ndio ile sasa, hapaingii nguruwe kama wewe pale!
Mmh
IMG_20190514_080743_532.JPG
 
Back
Top Bottom