PICHA; Maelfu Wajitokeza kumpokea Mbwana Makatta-Lubumbashi; kwanini kavaa Kandambili??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA; Maelfu Wajitokeza kumpokea Mbwana Makatta-Lubumbashi; kwanini kavaa Kandambili???

Discussion in 'Sports' started by nngu007, May 31, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Viongozi wa TP Mazembe, na Tajiri wao Wakimsubiri Mbwana Makatta kuwasili Uwanjani, Uwanja Umejaa haswa...

  [​IMG]

  Tajiri wa TP Mazembe Moise Katumbi Chapwe aikimuta Samatta kumtambulisha rasmi kwa Viongozi na Mashabiki wa Timu Hiyo. Samatta amenunuliwa na TP Mazembe kwa Dola $ 100,000 toka Simba. AJABU KWELI SAMATTA KAVAA KANDAMBILI OH MTANZANIA!!!

  [​IMG]

  Mbwana Makatta akiwasili Uwanjani huko Lumbumbashi.
   
 2. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Bichwa litamjaa ajione staa ashindwe ku perform
  huo ndiyo utamaduni wa mastaa wa kitanzania.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,325
  Likes Received: 19,492
  Trophy Points: 280
  refer Hasheem Thabit
  sas hivi anagawa pes atu kwenye a clubs na totoz
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  angekua mzungu usingesema,vile ni sandozi za KIMASAI
   
 5. s

  shosti JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  yuko poa tu bwana,angevaa Messi tungesifia kweli ila kama kawa Mbwana tunakhandia
   
 6. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Hivi ni Mbwana Makatta au Mbwana Samatta?
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mbwana Makatta alikuwa golikipa wa Tukuyu Stars na baadaye Yanga!
   
Loading...