Picha: Mabinti wa Museveni ni Waganda kweli?

Umezoea kina mwajuma wanajichubua
Hakuna mrembo hapotatizo lenu nyinyi hakina mariooo mkiona demu mwenye pesa basi huyo ndiyo mrembo kwenu . Acheni umariooo tafuteni pesa bila ya kutegemea wanawake.
 
akifa baba yao watakuwa na maisha mabaya,, maana Nchi itaingia kweny mgogoro wa kugombea nafasi ya urais,
Museveni ajaandaa mazingira mazuri ya kupokelezana madaraka, ni Bora angeandaa mtu wake then yeye astaafu mapema kwa amani,
Wewe ni zuzu wa kimataifa wewe unadhani mafisadi wakubwa africa wameficha pesa kwenye nchi zao ?....au unadhani wanawekeza kwenye nchi zao tu
 
Hakuna mrembo hapotatizo lenu nyinyi hakina mariooo mkiona demu mwenye pesa basi huyo ndiyo mrembo kwenu . Acheni umariooo tafuteni pesa bila ya kutegemea wanawake.
Dah kwahiyo tumekuwa marioo sasa? Kisa kusifia chombo kali?😂😂
 
mkuu umeachana na habari za Iran siku hizi?
Ila hapo mu7 kapigwa au nasema uongo ndugu zangu!
 
Picha:Mabinti wa museven ni pisi kali balaa hawa kiasili ni waganda kweli?

Mmeona pisi kali za mzee baba? Hawa ni waganda kweli kiasili maana wanafanana na watu wa Rwanda kwa asilimia 100%

Ila ni pisi kali balaa

View attachment 1840749View attachment 1840750View attachment 1840751View attachment 1840752
Wakali Ila kumbuka " beauty lies in the eyes of the beholder." Hawa ni Waganda pure, na kabila lao yani la Museveni wajulikana Kama " Ankole" Yani Wanyankole ndo huwa wanasifika kuwa na wanawake wazuri na weupe kuliko makabila mengine. Wanyankole hawana tofauti na wanyarwanda kimaumbile
 
Back
Top Bottom