[Picha] Maalim Seif Sharif Hamad, Raila Odinga, Rais mstaafu Rupia Banda wakutana Philadelphia.

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
1469519247099.jpg

Maalim Seif Sharif Hamad akiwa pamoja na Rais mstaafu wa Zambia, Rupia Banda na kiongozi na kinara wa CORD nchini Kenya ambaye alikuwa Waziri mkuu, Raila Odinga, walipokutana Philadelphia kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Democrats (Democrats National Convention) unaoendelea kwa siku ya nne na ambao utamdhibitisha rasmi Hillary Clinton kuwa Mgombea Urais wa Marekani kupitia chama hicho.
 
View attachment 371075

I really get disappointed na suti za Maalim Seif, they are always oversize inabidi wasaidizi wake waliangalie hili aisee
 
Raila mshkaji wa kinywaji changamfu ambaye ni kikwazo kwa demokrasia kwenye viunga vya makunduchi, mchambawima n.k

Raila hapo ni spy!!
Hata Zitto naye ni mdukuzi wa info, wataharibu mtiririko mpaka wapinzani waonekane waongo.
 
Kwa hiyo unapendekeza avae kama king mswati au?
 
Raila mshkaji wa kinywaji changamfu ambaye ni kikwazo kwa demokrasia kwenye viunga vya makunduchi, mchambawima n.k

Raila hapo ni spy!!
Hata Zitto naye ni mdukuzi wa info, wataharibu mtiririko mpaka wapinzani waonekane waongo.
Na huu ukaribu wa maalim Seif na Odinga umeanza lini?
 
Back
Top Bottom