Picha: Maalim Seif Sharif Hamad ''Chagueni viongozi wenye dhamira ya iutetea maslahi ya wananchi.''

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=1]Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad:''Chagueni viongozi wenye dhamira ya iutetea maslahi ya wananchi.''[/h]





Written by haki |

aru2.JPG

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wananchi wa kata ya Elerai mkoani Arusha katika mkutano wa kampeni za udiwani na kumnadi mgombea wake John Gilbert Bayo.
aru5.JPG

Aliyekuwa diwani wa CHADEMA kata ya Elerai Mkoani Arusha John Gilbert Bayo, akinadi sera zake kuomba achaguliwe tena nafasi hiyo kupitia CUF, baada ya kutimuliwa na CHADEMA
aru6.JPG

Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CUF Abdul Kambaya akizungumza na wananchi wa kata ya Elerai Arusha, wakati akimnadi mgombea udiwani kupitia chama hicho, John Gilbert Bayo.
aru4.JPG

Mjumbe wa Baraza Kuu la uongozi CUF kutoka mkoani Arusha, Flora Emmanuel, akizungumza na wananchi wa kata ya Elerai mkoani Arusha katika mkutano wa kampeni za udiwani ambapo Maalim Seif alikuwa mgeni rasmi.

aru3.JPG

Baadhi ya wananchi wa kata ya Elerai mkoani Arusha wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akimnadi mgombea udiwani kupitia chama hicho, John Gilbert Bayo.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu Wa Kwanza wa Rais Zanzibar

 

Mbona DIWANI hakutupiwa VAZI la CUF Jamani? ilimbidi alie pale JUKWAANI haijulikani ni kwasababu Waliohudhuria ni Wachache au...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom