Picha lishaanza: Acacia walalamikia wafanyakazi wake 'kubananishwa' na TAKUKURU

Hakuna Tanzania yenye neema chini ya Magufuli, ni watu kupigwa risasi kama Lissu,kutekwa na kupotezwa, kuvuruga upinzani na kuua uchumi wa nchi.
Kikwete alituachia balaa...
Mkuu 'inawezekana' una hoja ila habari ambayo hatuna ushahidi nayo 'wait' niwe 'mpenz mtazamaji tu'.
 
Hakuna kuyalamba miguu hayo mabeberu, yameibia sana nchi kwa kushirikiana na vibaraka wazawa. Katika mambo ambayo nitaiunga mkono serikali ya Magufuli ni hili la ku deal na majizi yaliyohujumu uchumi wa nchi
 
Wakati mabeberu yanatuibia Magufuli alikuwa wapi?

Hahahaaa wacha wazungu wawanyoshe.
Hii inaniambia kuw akumbe yake mazungumzo ya Barick na GOT hayatazaa matunda na Jiwe kaona ka0ogwa changa la macho sasa kayasukumizia maTRA na maPCCB nayo yakakurupuka bila kujipanga.

Huwezi kum detain mtu kama unavyofanyia wanyonge akina Mo bila ushahidi je ikigundulika( kama ambayo siku zote iñakuwaga) kuwà hawana hatia atawapona vipi??

Magufuli kapaniki baada ya kuona alidanganywa kwenye mazungumzo na data zake za uongo
 
Najua wenzangu na mie hapa tutachangia tu kwakuwa tumeona neno ACACIA na tuna Kumbukumbu nalo kwakuwa tunasubiri watulipe chetu kusudi kila Mtanzania ananunuliwe HAMMER, ila nina uhakika kilichoandikwa hapo kwa lugha ya Malkia wengi wetu tumepishana nacho Kiuelewa na tumebaki Kubung'aa bung'aa tu!
untrue
 
CCM ndio iko madarakani, na Kamati Kuu yake ndio yenye mamlaka makubwa sana ya kuweza kuinusuru nchi kwa kumwambia Dereva huku siko unatumbukiza gari korongoni. Jee wajumbe wa hiyo Kamati kuu ya ccm ni kina nani?
Wako wapi kuokoa jahazi maana dereva alishakiri kuwa huku upstairs kuna tatizo na hata wasaidizi amaochagua nao ni wale wenye tatizo kama lake.
Mbona ANC waliweza kwa Mbeki walipoona anakwenda kinyume? Jee ccm hawaoni mambo yanavyo kwenda? Au wanataka kule kutoana kwa mabavu ambako kisheria ni kosa kubwa sana linaitwa uhaini?
Mwambieni tuu kuwa kutambua kuwa umeshindwa sio udhaifu ni ushujaa.
 
Mkuu 'inawezekana' una hoja ila habari ambayo hatuna ushahidi nayo 'wait' niwe 'mpenz mtazamaji tu'.
Mkuu unajaribu kujaza maji kwenye chekeche?...hii habari ipo kwenye web site yao..unahitaji ushahidi gani?..ujue tu kuwa inchi hii inaelekea kuzimu
 
Wakati mabeberu yanatuibia Magufuli alikuwa wapi?

Hahahaaa wacha wazungu wawanyoshe.
Hii inaniambia kuw akumbe yake mazungumzo ya Barick na GOT hayatazaa matunda na Jiwe kaona ka0ogwa changa la macho sasa kayasukumizia maTRA na maPCCB nayo yakakurupuka bila kujipanga.

Huwezi kum detain mtu kama unavyofanyia wanyonge akina Mo bila ushahidi je ikigundulika( kama ambayo siku zote iñakuwaga) kuwà hawana hatia atawapona vipi??

Magufuli kapaniki baada ya kuona alidanganywa kwenye mazungumzo na data zake za uongo
Mkuu, ukiisoma vizuri alicho kiandika Peter, utagundua amesema na akaweka wazi kwamba mazungumzo ya serikali ya Tanzania na Barrick bado yanaendelea.
Lakini kilicho onekana kumkwaza ni serikali ya Tanzania kuwataka ama kuwalazimisha wafanyakazi wa Accacia Dar office na North Mara kutoa maelezo kwa lazima, na akaongeza kuwa amesikitishwa kwa kitendo cha serikali ya Tanzania kuzima computer mbili pamoja na sim.
Hivyo amewataka wafanyakazi wa Accacia wawe watulivu katika kipindi hiki cha hofu kubwa.
Na akaongeza kwamba kwasasa Accacia imejikita hasa kwenye kulinda utu/usalama wa wafanyakazi wao. Na yeyote mwenye maswali ama maoni asisite kwenda kumuona ama kuzungumza na General Manager.
 
Come on,whats this again!
Kama hii habari ni legit,inatuchafua sana kama nchi.
Okay let say hao 'raiders' walikua na sababu muhimu ya kuwahoji ao wafanyakazi,why waaitumie utaratbu mzuri mpaka mwekezaji aone kuna tishio hadi atuchafue kimataifa,hii habari kama ya ukweli,we should act smart and fast lasivyo investors tutawaona kwa majirani
Kuchafuka kimataifa ndiyo nini? Kinyume chake ni kuwa msafi... siyo? Na tulipokuwa wasafi tulifaidika na nini zaidi? Saudi Arabia ameua mtu, aliyehifadhiwa na Marekani kwenye ubalozi wake nje ya nchi sembuse hawa wala rushwa wanaoshughulikiwa?
 
Magufuli ameshindwa kabisa kuwa non emotional kwenye uongozi wake. Na kadri anavyoongoza nchi kwa mihemko ya chuki na hamu ya kulipiza kisasi ndiyo anazidi kufeli. Hili ameshaharibu atulie tu ananavyoendelea kuwabambikia kesi and blabla anazidi kujiharibia anadhani jamaa watafuta kesi yao waliyotushtaki London anajidanganya.
 
We have to take extraordinary measures, hawawezi kuhujumu nchi halafu wajifiche kwenye mwamvuli wa legal system, no way..
 
Hakuna kuyalamba miguu hayo mabeberu, yameibia sana nchi kwa kushirikiana na vibaraka wazawa. Katika mambo ambayo nitaiunga mkono serikali ya Magufuli ni hili la ku deal na majizi yaliyohujumu uchumi wa nchi
Mwenyekiti wa uvccm naye alikuja na kauli kama yako kuwa hakuna kuwalamba miguu world bak, lakini haikupita hata wiki mkawalamba mpaka na unyayo. Chezea mtu aliyekuzidi akili wewe
 
Mkuu, ukiisoma vizuri alicho kiandika Peter, utagundua amesema na akaweka wazi kwamba mazungumzo ya serikali ya Tanzania na Barrick bado yanaendelea.
Lakini kilicho onekana kumkwaza ni serikali ya Tanzania kuwataka ama kuwalazimisha wafanyakazi wa Accacia Dar office na North Mara kutoa maelezo kwa lazima, na akaongeza kuwa amesikitishwa kwa kitendo cha serikali ya Tanzania kuzima computer mbili pamoja na sim.
Hivyo amewataka wafanyakazi wa Accacia wawe watulivu katika kipindi hiki cha hofu kubwa.
Na akaongeza kwamba kwasasa Accacia imejikita hasa kwenye kulinda utu/usalama wa wafanyakazi wao. Na yeyote mwenye maswali ama maoni asisite kwenda kumuona ama kuzungumza na General Manager.
Hivi Accasia wao Ni wasafi.mbona wanalalamikiwa Hadi na shear holder wao wakubwa kuwa wamekuwa wakijuhusicha Sana na vitendo vya rushwa
 
Wakati mabeberu yanatuibia Magufuli alikuwa wapi?

Hahahaaa wacha wazungu wawanyoshe.
Hii inaniambia kuw akumbe yake mazungumzo ya Barick na GOT hayatazaa matunda na Jiwe kaona ka0ogwa changa la macho sasa kayasukumizia maTRA na maPCCB nayo yakakurupuka bila kujipanga.

Huwezi kum detain mtu kama unavyofanyia wanyonge akina Mo bila ushahidi je ikigundulika( kama ambayo siku zote iñakuwaga) kuwà hawana hatia atawapona vipi??

Magufuli kapaniki baada ya kuona alidanganywa kwenye mazungumzo na data zake za uongo
Lazima ijulikane kuwa Tanzania ni nchi huru na ina serikali yake, hakuna namna tutaendelea kuwa wanyonge kwa watu wanaohujumu nchi kwa maslahi yao na yale ya mabeberu
 
Watanyooka tu..itafikia kipindi watajua tu kuwa kuja kuwekeza tanzania sio kuja kupiga dili tena..ni kujipanga..yale mambo ya kuja na makaratasi na briefcase kisha unakuwa bilionea na kuondoka hayana nafasi tena awamu hii.
 
Back
Top Bottom