Picha lishaanza: Acacia walalamikia wafanyakazi wake 'kubananishwa' na TAKUKURU

Wewe unafikiri kushabikia wanaume kuingiliana matakoni na hata kushawishi nchi nyingine duniani ni akili ya kawaida? hiyo akili hata ng'ombe hana, huo ni ushetani
Ndio maana tunawaambia msipeleke mabakuli yenu kuomba misaada
 
Ndio maana tunawaambia msipeleke mabakuli yenu kuomba misaada
Mzee hiyo misaada wanajipendekeza kutoa kwa malengo yao ya kidiplomasia likiwemo swala la kushawishi sheria za mashoga kwenye nchi husika, tumia akili kufikiri kama unazo. Kumbuka hicho unachoita misaada ni punje ukilinganisha na hayo madini wanayokwapua na saa hizi gesi
 
Kwa sababu umezoea kuwa mtumwa wa wazungu. Na umelelewa kuwa mtumwa wa wazungu. Hao sio wawekezaji ni wachimbaji na wakwapuaji. Kama kuwekeza wanawekeza kwenye mashine zao za kuongeza ufanisi wa kuchimba madini mengi, lakini sio kwenye muundo mbinu kwa ajili ya watanzania.

Naomba tofautisha kati ya uwekezaji kwenye infrastructure kama maji safi, barabara bora, Energy, shule na research Centers na uwekezaji kwenye equepment.
Utaona ni vitu viliwili tofauti. Uwekezaji wa infrastructure hata wewe, watoto na wazazi wako wananufaika, lakini huo wa pili wewe na familia yako hampati kitu.

Bado unaona sawa kuendelea kuwa na wawekezaji wa aina hiyo? Acha ku-Quote maneno angalia pia maana yake!
Naomba nikuulize swali

Kipindi wawekezaji wanakuja nchi hii nani aliwakaribisha? Kwa nini aliwakaribisha? Ni chama gani kilichokuwa kinaongoza selikari? Nani aliingia mikataba nao na kwa mamlaka gani aliingia nao mikataba? Je walioingia mikataba walikuwa vipofu?

Naomba unijibu tafadhali
 
Back
Top Bottom