PICHA: Lawrence Masha APIGA SALUTE Marehemu Barlow; Kwani yeye Ni Waziri wa Ndani au bado Ndoto?

IVI HESHIMA ZA MWISHO KWA ALOUWAWA AKIWA KICHAKANI NA DADAKE? ALIJIFICHA NA DADAKE KWELI? ACHENI IZO UYU ACP KAUWAWA AKIWA KTK HARAKAT ZA KUMSINDIKIZA HAWALAKE, AKIWA KTK TENDO LA UASHERATI, HAINA TOFAUTI NA ALOKUFA AKIWA KIFUANI KWA HAWALA AKIBEMENDA, JAMANI TOENI UO MSALABA KUUDHALILISHa

Duh! naona umeamua kumsaidia MUNGU kutoa hukumu, napita
 
EMT umetisha na hizo picha :]

Naona unanipa salute kiana. Wewe at least ni Chipukizi? Maana tumeambiwa hapa raia haruhusiwi kumpigia salute raia mwenzake.

Kiranga katuambia tukitaka kuwa critics tujiandae kwa kila neno moja tutakaloandika, tuwe tumeshasoma maneno mia moja kutoka sources mia moja nzuri, kwa kila neno moja tutakalosema, tuwe tumeshasikiliza maneno mia moja kutoka kwa wanazuoni mia moja wazuri, juu ya suala hilo.

Naamini neno/maneno include(s) picha pia. Bado natafuta picha za raia wanaopiga salute mpaka zifike mia. lol

Hahahah @ mpaka picha zifikie mia

Kwa vile Chipukizi sijapitia, hadi picha za raia wakipiga saluti zitakapotimia mia moja nitakuwa nimekiuka sheria

Lakini a picture is worth a thousand words kwa hiyo nadhani ninaweza kusamehewa kufikisha idadi hiyo ya mia! :D
 
Naona unanipa salute kiana. Wewe at least ni Chipukizi? Maana tumeambiwa hapa raia haruhusiwi kumpigia salute raia mwenzake.

Kiranga katuambia tukitaka kuwa critics tujiandae kwa kila neno moja tutakaloandika, tuwe tumeshasoma maneno mia moja kutoka sources mia moja nzuri, kwa kila neno moja tutakalosema, tuwe tumeshasikiliza maneno mia moja kutoka kwa wanazuoni mia moja wazuri, juu ya suala hilo.

Naamini neno/maneno include(s) picha pia. Bado natafuta picha za raia wanaopiga salute mpaka zifike mia. lol

They say a picture is worth a thousand words, I concur with Gaijin. Yours is a clever meme to be mimicked as a momus.
 
Mkuu,

Tatizo watu wanatafuta kuwa argumentative bila ya kuwa na merit. It takes work to be argumentative correctly.

nngu007
Lawrence Masha kama mnamtaka kumsema jamani mbona kuna mengi tu ya kumsema legitimately? Au mkiona kichaka tu mshabanwa haja?

Ila mjue mkitaka kuwa critics mjiandae kwa kila neno moja mtakaloandika, muwe mshasoma maneno mia moja kutoka sources mia moja nzuri, kwa kila neno moja mtakalosema, muwe mshasikiliza maneno mia moja kutoka kwa wanazuoni mia moja wazuri, juu ya suala hilo. Msikilizeni mtume wa criticism.

Ndo kadiri ya "rule of thumb" of good criticism.

Sio mtu unajisikia tu kusema, mara leo mbona Kikwete kashika mwenge kwa mkono wa kushoto, ooh Masha kapiga saluti.
Hata gazeti la Shigongo husomi, achilia mbali kutafuta informative sources.

Watu wa aina hii watawafanya hata wenye malalamiko ya kweli waonekane wana "cry wolf" tu sasa.

JF ionekane ya wazushi waliojaa gubu tu.

Huyo Masha akikwambia kampata Guru , alikuwa anapiga Namaste, utasemaje?

namaste_hands.jpeg

Kwani uongo kuwa Kikwete alikosea kushika mwenge, au nawe unaamua kutetea tu hata pasipoteteeka?
Au ulitaka asisemwe kwa hilo, kisa tutaonekana "cry wolves!"
Hoja pale ilikuwa ni taratibu kukiukwa, km taratibu ndogo km ile kaikiuka hadharani, ni taratibu ngapi kubwa anazikiuka sirini?
 
7.jpg

Lawrance Masha ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Nyamagana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.

ni salute ama ishara ya msalaba kwa wakristu rc ?
 
Nyote mnaobisahana hapa ni kizazi cha Bongo flavour hamjawahi kukanyaga hata JKT.

FYI, hata kama ukiwa mwanajeshi, Polisi, JKT, Magereza etc, kama hujavaa KOMBATI huruhusiwi kupiga salute PERIOD.

Ulizeni watu wanaofahamu codes za majeshi sio kumwaga ***** hapa.
 
Kwenye hili Kiranga tupo pamoja.

Kwanza tunataka kujua salute maana yake ni nini.

Halafu hapo watu wanatoa heshima au salamu za mwisho kwa marehemu, kila mtu kwa imani yake na kwa kwa vyote atakavyoona inafaa.
Kuna wengine watamshika paji marehemu nk, Lau kupiga salute, sioni tatizo, ama la sivyo umekariri saluti hupigiwa nani.

Afu kuna aina kadhaa za kutoa hiyo salute, na pengine kila moja ina maana yake.
 
Last edited by a moderator:
EMT chipukizi kufundishwa hivyo, sio kwamba ndo amri ya Mungu.
Ni sheria tu ambazo hata wewe unaweza kubadili kama mitaala ya elimu inavyobadilishwa na kila anayeingia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom