PICHA: Lawrence Masha APIGA SALUTE Marehemu Barlow; Kwani yeye Ni Waziri wa Ndani au bado Ndoto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Lawrence Masha APIGA SALUTE Marehemu Barlow; Kwani yeye Ni Waziri wa Ndani au bado Ndoto?

Discussion in 'Jamii Photos' started by nngu007, Oct 15, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Lawrance Masha ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Nyamagana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Cha Ajabu hata hakukanyaga JKT ...
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwani kupiga saluti lazima uwe umekanyaga JKT?
   
 4. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  naona haikuwa saluti bali alikua anaanza ama katikati ya kuweka alama ya Msalaba
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sio lazima; lakini alitakiwa kwenda JKT akakwepa kuwa wakili PRIVATE; na BAADA ya MWINYI na AZIMIO la ZANZIBAR kuvunja JKT akaomba kazi TANZANIA OXYGEN na pia kujiunga na UMOJA wa VIJANA wa CCM; Wakati anasoma CHUO KIKUU hakuwa Mwanachama wa Umoja wa VIJANA wa CCM wala MPENZI wa Serikali Tawala...

  Ni MPAKA MKEKA ULIPOTANDIKWA wao KUPITIA njia RAHISI...
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Yeye SIO MKATOLIKI!!!
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Hiyo mbona siyo saluti? Inaonekana alikuwa anapiga ishara ya msalaba mbeke ya mwili wa marehemu.
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280

  Kwa waluoishi Marekani wanatambua kuwa si lazima uwe mkatoliki kupiga ishara ya msalaba.
   
 9. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45

  Duh! kazi kwelikweli! sasa kazi ipo! maana walisema weeee!!!! oooh! ana Green Card!!! mara sijui nini, lakini wakamuogopa mpaka Wenje akamuumbua! sasa wamemrudisha NEC ajaandae Rais ambaye atamrudisha Mambo ya Ndani, mtamkoma
   
 10. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Alipitia Jeshi la Chipukizi la CCM
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Ndio wanatambua Sana; na WENGI Hawajui ISHARA ya MSALABA hata KIDOGO

  As you know in US the highest percentage of christians are Protestants and not Catholics

  Catholics are minority; Ndio Maana Rais Mkatoliki pekee wa US ni John F Kennedy na Sijui kama watapata Mkatoliki Mwingine... In Short Protestants in US are not that much fond of Catholics...
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Aliiachia ikapoteza umuhimu wake; kama una GREEN CARD unatakiwa Usikae NJE ya USA kwa Mwaka Mmoja bila kwenda; nadhani kwa alivyokuwa anapanda kivyeo na kifedha hakuona UMUHIMU wake... hakufuata Masharti yake... Sasa HANA

  Lazima awe MBUNGE ili Uwe Waziri; Kikwete ana Miaka 2 Imebaki arudi kwao MSEGA...
   
 13. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  masikini....Masha kumbe yupo?
   
 14. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Usilazimishe mtu afanye utakavyo.... Axha upuuzi wewe

  Mbona Mimi nimepiga salute na si mwanajeshi

  Tumeishiwa hoja sasa tunajilengesha kwa wanaume
   
 15. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Unapenda sana kujianika mkuu

  Kara issues, jamaa sio maskini wa kutegemea siasa tu
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280


  Bado kuna nafasi za ubunge zimebaki, JK si angeweza kumteua kama mbunge? BTW why katambulishwa kama Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Nyamagana, na siyo Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, aka bosi wa zamani wa marehemu? Would that have made more sense?
   
 17. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  IVI HESHIMA ZA MWISHO KWA ALOUWAWA AKIWA KICHAKANI NA DADAKE? ALIJIFICHA NA DADAKE KWELI? ACHENI IZO UYU ACP KAUWAWA AKIWA KTK HARAKAT ZA KUMSINDIKIZA HAWALAKE, AKIWA KTK TENDO LA UASHERATI, HAINA TOFAUTI NA ALOKUFA AKIWA KIFUANI KWA HAWALA AKIBEMENDA, JAMANI TOENI UO MSALABA KUUDHALILISHa
   
 18. F

  FJM JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Very sad!
   
 19. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Unauhakika huo??? kwanini agombee U-NEC CCM??? kama sio Maslahi kwanini akiwe chama cha Mzee Masha cha UDP??? haka hategemei Siasa kula NCHI???

  Ni Mlafi huyo Hauoni hayo sababu U MwanaUbafu wake wa kuchota?
   
 20. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Tunaaibisha sometimes

  Not everyone survives kwa siasa
   
Loading...