kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 13,973
- 15,763
Chadema wana lao jambo baada ya Lowassa ni zamu ya Hoseah,List of shame!
Aisee 🤔Chadema wana lao jambo baada ya Lowassa ni zamu ya Hoseah,List of shame!View attachment 1741866
Cyprian Musiba alisifu na kuabudu Binadamu badala ya Muumba mbingu na sasa matokeo yake ni yeye kujificha. Wewe kazi yako ni uongo na kuzusha mambo bila sababu ya msingi. Utakuja kutendewa HAKI na Mola wetu.
Wewe mwnyw watu wanakufananisha na popoma aitwaye gentamaisiniNa sijui kwanini anatumia Jina la Veronica France huko Mitandaoni badala ya hili Jina lake.
Kuna Watu hata wakibadili vipi Majina yao ( Akaunti zao ) huko ( humu ) Mitandaoni utawajua tu.
Na sijajua ni kwanini bado ' System ' kupitia Wakubwa wake kadhaa ( baadhi ) inaendelea tu Kumtumia.
Wewe zoba hapo Chadema inahusikaje? Na nyie mods thread zingine kuziachia humu ni kukaribisha malumbano yasiyo na tija na wakati mwingine hata matusi na kupingaba na ile kauli mbiu yenu kuwa hapa JF ni Home of Great Thinkers. Ingesemwa CCM nina uhakika huu uzi ungefutwaChadema wana lao jambo baada ya Lowassa ni zamu ya Hoseah,List of shame!View attachment 1741866
Wewe mwnyw watu wanakufananisha na popoma aitwaye gentamaisini
Purely talented and charismatic fella
Bado system haiamini kuwa wananchi wanajitambua na wanawadharau watu kama Vuvuzela Musiba.Na sijui kwanini anatumia Jina la Veronica France huko Mitandaoni badala ya hili Jina lake.
Kuna Watu hata wakibadili vipi Majina yao ( Akaunti zao ) huko ( humu ) Mitandaoni utawajua tu.
Na sijajua ni kwanini bado ' System ' kupitia Wakubwa wake kadhaa ( baadhi ) inaendelea tu Kumtumia.
AhahahahWewe mwnyw watu wanakufananisha na popoma aitwaye gentamaisini
Purely talented and charismatic fella
Inawezekana upo nje ya chadema ndio maana hujui yanayoendelea!Kwanini unaihusisha Chadema kama taasisi kwa issue inayohusisha kikundi fulani cha watu walioamua kufanya hayo kwa utashi wao?
Japo siku hizi kumezuka kamchezo cha watu kufuata zaidi watu badala ya taasisi na wakati mwingine wanaenda mbali mpaka kujigeuza wasemaji wao ndio maana na wewe mleta mada umeingia mkumbo huo.
Chadema ni washing machinery ya watenda maovu nchi hii!Wewe zoba hapo Chadema inahusikaje? Na nyie mods thread zingine kuziachia humu ni kukaribisha malumbano yasiyo na tija na wakati mwingine hata matusi na kupingaba na ile kauli mbiu yenu kuwa hapa JF ni Home of Great Thinkers. Ingesemwa CCM nina uhakika huu uzi ungefutwa
Angalia yamekutana yanajadili mtu!Bado yapo mkuu. Haya ndo mapimbi aliyotuachia mwenda zake
Mtu wa mwisho bavicha kujua kujenga hoja na kujibu ni patrobas katambi!Bado yapo mkuu. Haya ndo mapimbi aliyotuachia mwenda zake
Mtajua wenyewe wenye agenda yenu!Kwahiyo unataka achaguliwe Chawa MSANDO aliyekuwa anaendesha Genge la wasiojulikana?
Na CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. CCM kama chama cha siasa ilishakufa.Chadema ni washing machinery ya watenda maovu nchi hii!
Huenda ni usefull😂😂😂😂Na sijajua ni kwanini bado ' System ' kupitia Wakubwa wake kadhaa ( baadhi ) inaendelea tu Kumtumia
Nafikiri humu kuna thread nyingi zinazoisema CCM kuliko wengineoThinkers. Ingesemwa CCM nina uhakika huu uzi ungefutwa