labda kiumbe hicho kinaweza kikawa na pembe ambazo wale waheshimiwa fake watazihitaji kupeleka hong kong kutunisha mfuko wa kuhonga 2015:becky::becky::becky::becky::becky:
Hili lazima litakuwa gombe sugu,liliwezaje kuvumilia mateke ya punda,wao wenyewe kwa wenyewe mpaka punda dume apewe mzigo shughuli anakuwa keshaipata,,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.