picha kwa hisani ya Boflo wa JF

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,675
ngombe balaa huyu.jpg


























hii laana iliyowakumba watu na wanyama wa 'singida' ni balaa!!
 
Duh hii kali...
sasa kiumbe kitakachozaliwa kitakuwaje??
Crazy world
 
ndio matatizo ya wanyama kutengenezewa maabara,ng'ombe kwa nje kwa ndani punda!
upo Boflo
 
Last edited by a moderator:
labda kiumbe hicho kinaweza kikawa na pembe ambazo wale waheshimiwa fake watazihitaji kupeleka hong kong kutunisha mfuko wa kuhonga 2015:becky::becky::becky::becky::becky:
 
Hili lazima litakuwa gombe sugu,liliwezaje kuvumilia mateke ya punda,wao wenyewe kwa wenyewe mpaka punda dume apewe mzigo shughuli anakuwa keshaipata,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom