Picha: Kwa hatua hii ya Dubai, kweli Tanzania tumelogwa

Kinachomuuma ni mke wake kipenzi wa mwisho Haya bint alhussein binti aliyekuwa mfalme wa Jordan kumkimbia kwa kufa kimapenzi na mlinzi wake Muingereza nakuomba talaka.

Kingine Kinachomuuma kazuiliwa kuwaona watoto wake. Jamaa hana furaha kabisa.
Sasa furaha yake inawahusu nini wananchi wa Dubai? Ila maendeleo aliyoyafanya yanawahusu
 
Nilichomaanisha ni kwamba:, pesa ya makampuni ya mabeberu ndiyo inqjenga Qatar, Saudi etc.
Waraabu hawakujua kuwa wanamafuta, hata baada ya kujua kuwa wanamafuta chini ya ardhi baada ya mabeberu kufanya tafiti bado hawakuwa na nyenzo kazi za kuyatoa ardhini hadi kwenye mapipa.
Ili bidi show asimamie beberu kuchimba na mnunuzi mkubwa akawa ni yeye mwarabu yeye kazi yake ikawa ni kusaini mikataba tu.
Mbona sisi tunasaini mikataba daily na nchi inajivuta sana kwenye suala la maendeleo ya kweli?
 
Mlinzi yuko Uingereza anajificha anahofia maisha yake
Yupo na hiyo nyapu au?amzalishe kabisa. Hawa waarabu ndio wakitaka kuingiza damu ya kiarabu Jumba la Ufalme Buckingham kupitia Princess Diana. Chezeya Kobazi weyee! Takbiiir
 
Hata kama ataoa mwengine jamaa inamuuma maskini mlinzi tena kafiri waif kagongwa nakunogewa nakuomba talaka. Ijatosha licha ya nguvu na hela alizonazo bado tu kazuiliwa kuona watoto wake.

Acha ya mpate tu malipo ni hapa hapa duniani. Ametesa sana vibarua kutoka nchi maskini Africa india Bangladeshi na Pakistani kwa kuwafanyisha kazi kama watumwa kwa masaa mengi na mshahara kidogo hao waliojenga Dubai wengi ni marehemu kwa unyanyasaji na wazima ni wagonjwa. Uchoyo na roho mbaya ukizingatia utajiri Dubai unao. Sasa kagongewa
Wewe umejuaje hayo unayoyaeleza hapa.
 
Hapa tunazungumza Maendeleo na sio personal issue ulipokuja Dubai waliku****raa nini ?Ulikuwa unafanyakazi wapi ulijua Dubai ni bongo nini.Dubai janja janja hakuna unakwenda straight foward .
 
Idiot mkubwa kabisa. Dubai inajegwa na viongozi wenye maono, wasiokula rushwa. Hizo ni hela zao.
Ukweli mchungu kwa wafia dini wa mudyy..hataki kuamini kua mbabeberu a.k.a amerika ndio wamejenga dubai..hao wavaa kobazi hata mafuta leo mmarekani akisema hanunui hana pa kuyapeleka..kama wana nguvu hiyo ya uchumi waambie wauze mafuta bila kutumia dola ya mmarekani kama nchi haijarudi kwenye jangwa tena.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dubai, Qatar etc zinajengwa na mabeberu na watu wa mashariki ya mbali.. Tanzania mabeberu wanatukanwa na Wana siasa na kubezwa.
Tukubalini kuvuta mkia.
With the discovery of oil, the late Sheikh Rashid bin Saeed Al Maktoum began the development of Dubai. He began transforming the city from a small cluster of settlements near Dubai Creek to a modern port, city and commercial hub.
 
Screenshot_20210913_083605.jpg
 
Mbona sisi tunasaini mikataba daily na nchi inajivuta sana kwenye suala la maendeleo ya kweli?

Mbona sisi tunasaini mikataba daily na nchi inajivuta sana kwenye suala la maendeleo ya kweli?
Tunasaini mikataba ya kinyonyaji.
Mfn: waziri anaitwa UK kwenda kusaini mkataba, anafika mabeberu wanamuendalia hoter ghali ya kufikia anatafutiwa demu Mkali akaunt yake inajazwa madolali ya kutosha hiyo ni kabla kusaini mkataba then ndiyo wanaingia kusaini Sasa.. Tayali attention kashapoteza ni kumwaga wino tu.. Akitaka kurudi ananunuliwa suti za Bei mbaya.Then huyo huyo wakati wa uchaguzi anakuja kutuambia tunaibiwa sana na mabeberu.
Sakata LA Rada wapigaji ni watanzania tuliowaamini na mabeberu... End of the day tulikuja tetewa na yule Mama mbunge wa uingereza akaishinikiza serikali yake irudishe hela ya walala Hoi wa Tanzania ila waliotufikisha hapo wapo na bado wanakula keki ya taifa.

Ngozi nyeusi sio wa kuamini
 
Hapa tunazungumza Maendeleo na sio personal issue ulipokuja Dubai waliku****raa nini ?Ulikuwa unafanyakazi wapi ulijua Dubai ni bongo nini.Dubai janja janja hakuna unakwenda straight foward .
Mkuu kwa hasira hizi utakuwa na wewe umegongewa. Mkishashika vijichenji mnajifanya vimungu mtu konea wengine. Dawa yenu nikuwagonga
 
Mkuu huyo jamaa hana furaha kabisa. Waliyokaribu naye wanadai analaani kichiz mke wake kuliwa na kafiri na maskini hadi kumtoroka. Sasa hivi hata hawezi kuwaona watoto wake. Kuna wakati alichanganyikiwa akawa anaandika mashairi tu.
Hebu acha uongo.
 
Back
Top Bottom