Picha: Kwa hatua hii ya Dubai, kweli Tanzania tumelogwa

Dubai, Qatar etc zinajengwa na mabeberu na watu wa mashariki ya mbali.. Tanzania mabeberu wanatukanwa na Wana siasa na kubezwa.
Tukubalini kuvuta mkia.
Usiseme zinajengwa na mabeberu bali wachoraji na wabunifu wengi watoka nchi za kibeberu wakisaidiana na wazawa.

Fedha wanazolipwa zinatokana na mauzo ya mafuta.

Ipo "clip" ya mwarabu alijibu hoja ya kushangaa kwanini sisi waafrika hatuendelei.

Anasema tumekosa "Good Leadership" jambo ambalo ni kweli.

Uongozi mzuri unojitambua huleta utawala bora.
 
Nilichomaanisha ni kwamba:, pesa ya makampuni ya mabeberu ndiyo inqjenga Qatar, Saudi etc.
Waraabu hawakujua kuwa wanamafuta, hata baada ya kujua kuwa wanamafuta chini ya ardhi baada ya mabeberu kufanya tafiti bado hawakuwa na nyenzo kazi za kuyatoa ardhini hadi kwenye mapipa.
Ili bidi show asimamie beberu kuchimba na mnunuzi mkubwa akawa ni yeye mwarabu yeye kazi yake ikawa ni kusaini mikataba tu.
 
Moja ya shida za wabongo ni kuwaza ngono all the time.... Huyo jamaa ameleta mageuzi makubwa sana nchini kwake na dunia inamtambua jinsi alivyoyumia resources chache walizonazo kubadilisha jangwa kuwa tourist centers... Angewaza ngono kama wewe asingefika Popote kwa sababu mbunye si ya kushindana nayo, na ndiyo maana hata yeye hapo atakuwa na wanawake wengi...
Je umejiuliza alivyowatesa vibarua kutoka nchi maskini waliojenga Dubai kwa malipo ya hovyo na kutumika kama watumwa licha ya Dubai kuwa na utajiri mwingi? Malipo yake ndo hayo sasa kugongewa mke na maskini
 
mkuu japo ujumbe wako una maana kubwa ila picha umetupiga.

nimeanza kufuatilia mabadiriko ya jiji dubai toka discovery channel 2004,kipindi kilikuwa kinaitwa mega cities.mikakati imeanza 1901,lakini mabadiliko yameanza kuonekana miaka ya 1980.

mpaka 2016 dubai tayari ilikuwa ni balaa kabisa kama ilivyo sasa.
 
View attachment 1934544jamaa licha ya kuibadilisha Dubai na utajiri wa mabilion kaja kugongewa mke wake na mlinzi hana kitu tena mke wake kipenzi wa mwisho.
sio ishu,balaa ni pale huna hela,huna umaarufu wala umashuhuri,na unachapiwa mkeo mpaka wanamuiba.

unajiua.

mwamba kinachombana labda ni crown tu,ila anaweza kula demu yeyote,isipokuwa hataweka wazi maana ni haram.
 
Mkuu huyo jamaa hana furaha kabisa. Waliyokaribu naye wanadai analaani kichiz mke wake kuliwa na kafiri na maskini hadi kumtoroka. Sasa hivi hata hawezi kuwaona watoto wake. Kuna wakati alichanganyikiwa akawa anaandika mashairi tu.
Huyo mlinzi wake bado yupo hai?
 
Usiseme zinajengwa na mabeberu bali wachoraji na wabunifu wengi watoka nchi za kibeberu wakisaidiana na wazawa.

Fedha wanazolipwa zinatokana na mauzo ya mafuta.

Ipo "clip" ya mwarabu alijibu hoja ya kushangaa kwanini sisi waafrika hatuendelei.

Anasema tumekosa "Good Leadership" jambo ambalo ni kweli.

Uongozi mzuri unojitambua huleta utawala bora.
Sera ya uwekezaji ikiwa nzuri itawavutia matajiri mbalimbali duniani kuja kuwekeza; tajiri yeyote anataka uhakika/usalama wa mali zake hata miaka mia ikibidi. Nb; tajiri ndio anayetengeneza ajira, na masikini ndio anayeajiriwa.
 
Dubai, Qatar etc zinajengwa na mabeberu na watu wa mashariki ya mbali.. Tanzania mabeberu wanatukanwa na Wana siasa na kubezwa.
Tukubalini kuvuta mkia.
Hasa wale wanasiasa wakomunist wenye mawazo ya Miaka ya 70.
Hakuna maendeleo yeyeto bila kushirikiana na mabeberu.
Hio dubai tulikuwa nao sawa kiuchumi wao wakapata viongozi bora wakawavusha.
 
😂😂😂 Yaan Inaumiza at the same time inachekesha.
China Wana recourses asili nyingi na Wanafanya kazi sana + akili Lakin hawakuweza toka pale walipokua hadi pale mabeberu walipo wekeza kwa nguvu ndiyo Leo China tunaona iko pale.
Muda utaongea
Tatizo ni uongozi badala ya kununua matrekta yakazalishe tuuze nje na kutoa ajira tunanunua ndege zipaki,ma v8 yatafune kodi zetu.
 
Hata kama ataoa mwengine jamaa inamuuma maskini mlinzi tena kafiri waif kagongwa nakunogewa nakuomba talaka. Ijatosha licha ya nguvu na hela alizonazo bado tu kazuiliwa kuona watoto wake.

Acha ya mpate tu malipo ni hapa hapa duniani. Ametesa sana vibarua kutoka nchi maskini Africa india Bangladeshi na Pakistani kwa kuwafanyisha kazi kama watumwa kwa masaa mengi na mshahara kidogo hao waliojenga Dubai wengi ni marehemu kwa unyanyasaji na wazima ni wagonjwa. Uchoyo na roho mbaya ukizingatia utajiri Dubai unao. Sasa kagongewa
Mshkaji anaitwa Nani mkuu
 
Back
Top Bottom