Hii Ni kutokana na wewe,lakini masoud hakumaanisha hivyo,maana ya hizo picha ni kuwa biniadamu hawana wema,chochote utakacho kifanya lazima waseme/washangae au wakukosoe.Picha ya Kwanza ,huyo mnyama Ni kiongozi wakati anaomba kupata madaraka,anawahadaa wananchi na vizawadi Hadi anawabeba,
Picha ya pili Ni kiongozi Alisha chaguliwa inabidi mabosi wake/ wananchi wanakuwa WANYONGE na inabidi wao ndiyo wawe watumwa wa kumbeba na anageuka kuwa mfalume.
Hiyo umemaanisha wewe mm nadhani alimaanisha haki sawa nibebe na mm ntakubeba 50%50Hii Ni kutokana na wewe,lakini masoud hakumaanisha hivyo,maana ya hizo picha ni kuwa biniadamu hawana wema,chochote utakacho kifanya lazima waseme/washangae au wakukosoe.
Ufafanuzi wa hii picha unatafsiri nyingi kulingana na kila mtu anachowaza akilini mwake
Tukumbuke huyo mnyama aliyebebwa pia ameonyesha mshangao !?Hiyo umemaanisha wewe mm nadhani alimaanisha haki sawa nibebe na mm ntakubeba 50%50
Nakuunga mkono, upo sahihi kabisa na tafsiri yako hii. Inaonekana huyo mtu mwenye mnyama aliamua kushuka mgongoni mwa huyo mnyama baada ya kumuona mwananchi huyo anamshangaa. Akaona labda anakosea, ngoja sasa ambebe huyo mnyama. Ajabu ni kuwa baada ya kufanya hivyo yule mtu anaendelea kushangaa (kukosoa) tena, jambo ambalo limemshangaza na kumtafakarisha huyo (uwepo alama ?!) mtu mwenye mnyama.....ni km anajiuliza 'sasa nifanye nini?!!!!'Hii Ni kutokana na wewe,lakini masoud hakumaanisha hivyo,maana ya hizo picha ni kuwa biniadamu hawana wema,chochote utakacho kifanya lazima waseme/washangae au wakukosoe.