SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,318
- 1,936
Unamaana hayo ktk picha ni matokeo ya awamu zijazo pia?...sio awamu zilizopita tu,na awamu zijazo pia,hebu tulizeni mioyo!
Unamaana hayo ktk picha ni matokeo ya awamu zijazo pia?...sio awamu zilizopita tu,na awamu zijazo pia,hebu tulizeni mioyo!
Na bila kumsahau Bi Hellen atasema haki za binadamu zimevunjwa kwenye ujenzi huu wa flyover..Ngoja waje kina salary slip na wenzake wao kazi ya kubwa ni kupinga tu hata kama jambo lina maslahi ya taifa huu ndiyo upinzani wa Tanzania.
Naona hapo pembeni bandari kavu imejaa maji ya kutosha na kubadilika kuwa bandari dimbwiWakuu,
Yawezekana wengi hawakujua kuwa ujenzi wa hii intersection ulifanyika kwa kiwango gani lakini ningependa kuwapa perspectives tofauti ambazo zipo.
Hii picha ilitumiwa katika baadhi ya vyombo vya habari.
Hii intersection ipo karibu na Baraza la Maaskofu (TEC), Kurasini jijini Dar es Salaam.
Bado wanazungusha mikono watakuja tu.Ngoja waje kina salary slip na wenzake wao kazi ya kubwa ni kupinga tu hata kama jambo lina maslahi ya taifa huu ndiyo upinzani wa Tanzania.
wanajiji nao tubadirishe mapaa yetu sasa,yana kutu mno...yanaharibu maana nzima ya hizi barabara nzuri....ukiwa angani utasikitika sana jinsi hili jiji linavyotizamika...mnaotumia usafiri wa anga mtakuwa mashahidi wenzangu juu ya hili...
Mkuu unakaa kisiwani, kisota, tungi, ama vijibweni?Bado daraja hili ni kero kubwa kwa watumiaji!!
Unapotokea Dsm kwenda Kigamboni kwa kutumia daraja hili upande wa Kigamboni hakuna barabara kabisa!!
Yaani ni matope kwa kwenda mbele hasa kipindi cha mvua kama hiki!!
Sasa kwa kimeo changu hiki kiStarlet mbona niliipata!!
Nadhani wasingefanya haraka kulifungua mpaka wamalize ujenzi wa barabara upande wa Kigamboni na sisi tungewavumilia tu!!
Kwa upya na ushamba wetu ndio tunavuka hivyohivyoili mradi tuoshe macho lakini ni kero mno!!
Mtu unapita vizuri kwenye daraja lenye barabara tatutatu lakini ukivuka tu daraja unakutana na tope la ajabu na makorongo yakuweza hata kuzama kontena!!
.....Akiwa Waziri wa Ujenzi.Hapo sawa kabisa Mkuu. Mie kwanza SIKUAMINI kama picha hiyo imepigwa Tanzania...Kumbe inawezekana barabara ya Mandela kuwa hivyo hadi Ubungo....Ningependa kuona njia SITA hadi Chalinze.....Ni awamu iliyopita, sawa. Lakini Magufuli ana mchango mkubwa sana katika hili
Siishi Kigamboni ila kwa shughuli zangu huwa nakwenda kule mara kwa mara!Mkuu unakaa kisiwani, kisota, tungi, ama vijibweni?
Wakuu,
Yawezekana wengi hawakujua kuwa ujenzi wa hii intersection ulifanyika kwa kiwango gani lakini ningependa kuwapa perspectives tofauti ambazo zipo.
Hii picha ilitumiwa katika baadhi ya vyombo vya habari.
Hii intersection ipo karibu na Baraza la Maaskofu (TEC), Kurasini jijini Dar es Salaam.
Hapo ni ukiwa unaanza kuingia kwenye intersection yenyewe.
Hapa ni ukiwa juu ya njia ya treni ambayo ipo juu ya barabara iendayo Kigamboni.
Ukiwa juu ya barabara nyingine unaona magari ya mizigo yakitokea Bandarini
Natumaini wengine mnazo picha nzuri zaidi yangu na mtajazia.
Nichukue fursa hii kuwapongeza wajenzi wa mradi huu kuibadili sura ya eneo hili.
VyoteSio Maisha bora kwa Watanzania,kumbe ni picha?
kipande kile kinasumbua sana hasa kipindi hiki cha mvua... Lakini mh Rais ameshasema kuwa kama ameweza kunyoa nywele zote kichwani, basi hawezi kushindwa kumalizia ndevu kidevuniSiishi Kigamboni ila kwa shughuli zangu huwa nakwenda kule mara kwa mara!
Juxi ndio wapi?Aisee nilienda juxi nilipotea njia ila baadae nikaipata
Ni awamu iliyopita, sawa. Lakini Magufuli ana mchango mkubwa sana katika hili