Picha: Kumbe gari AGX 404 MC lenyewe ndo hili lililomteka MO!

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Kwa maelezo ya IGP Simon Sirro kwenye mkutano na waandishi wa habari ni gari aina ya Toyota Hilux Surf, rangi ya blue na, anasema limetoka nchi jirani ambayo hakuitaja.!
IMG_20181019_102757.jpeg
IMG_20181019_102804.jpeg
IMG_20181019_102900.jpeg
 
Kuonesha picha tu haitoshi. Commitment kwenye kumsaka ndio kiu ya watanzania wote wanaoitakia mema nchi hii.

Huyo mkuu anapaswa kuwa analeta updates kuwa wamefikia hapa au pale kwenye msako.

Kitendo cha familia kutangaza dau kwangu mimi nadhani waliona serikali iko kimya sana.

Kwa kuwa ni jukumu la serikali kulinda raia wake na mali zao, serikali ndio ilikuwa na jukumu la kutoa zawadi kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa MO sio familia yake.

Wamarekani wameshaanza uchunguzi so far.

CCTV: American Intelligence Groups Currently Looking Into Kidnapping Of Tanzanian Billionaire Mohammed Dewji As Kenyan Lady Muthoni Gathithu Questioned

Mapya....

Revealed: Authorities in Tanzania want kidnapped billionaire's wealth - Sauti Kubwa
 
Kuna waandishi wa habari wameuliza maswali ya kipuuzi sana..Sijui wakiona wagwanda wanakumbwa na kiwewe!
 
IGP ameeleza mengi na kueleweka sana.

Sasa mnaotaka kuwafundisha kazi.. nendeni mkawafunze muache kutumia ID fekelo kuandika upupwu huku hamjui hata chembe ya haya.. mnaota tu na kubwabwaja..
 
Sidhani kama namba hizo ni za kweli maana watekaji wanaonekana kuwa more professional na walijua kabisa pale kuna CCTV camera!

Wanaweza kuweka namba feki na kulizungusha hilo gari mpaka mpakani ili kumask tukio. Jeshi letu likiangaika na namba za gari tutafail kabisa.

Kumteka MTU eneo kama lile unaitaji kuwa na akili sana hivyo wanaomtafuta wanatakiwa kuwa na akili Mara mbili zaidi ya mtekaji na je? Unavyoona jeshi letu lina uwezo huo?
 
Kwa plate number yenye rangi hiyo naihsi kwambali naona bendera ya moçambique.
 
Sidhani kama namba hizo ni za kweli maana watekaji wanaonekana kuwa more professional na walijua kabisa pale kuna CCTV camera!

Wanaweza kuweka namba feki na kulizungusha hilo gari mpaka mpakani ili kumask tukio. Jeshi letu likiangaika na namba za gari tutafail kabisa.

Kumteka MTU eneo kama lile unaitaji kuwa na akili sana hivyo wanaomtafuta wanatakiwa kuwa na akili Mara mbili zaidi ya mtekaji na je? Unavyoona jeshi letu lina uwezo huo?
Kama hiyo ndo Gari iliyomteka MO bhasi Wakiitwa FBI kazi imeishaa maana Hilo gari information zake zote zinaweza kupatikana...toka kutengenezwa mpaka kununuliwaa...!!
 
Back
Top Bottom