Picha: Kukaribisha Viongozi wa sekretarieti mpya na matukio yaliyosisimua DSM

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahaman Kinana,akisalimiana na Katibu wa Mkoa wa Vyuo Vikuu ,Christopher Ngubiagai, leo tarehe 19/11/2012 , Ofisi Ndogo CCM Lumumba.

Katibu wa Uchumi wa Fedha Mama Zakhia Meghji akipokelewa makao Makuu wa Chama, Ofisi Ndogo Lumumba.

Dk.Asha Rose Migiro,Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa akipokelewa kwa furaha. CCM Ofisi ndogo Lumumba.

MKUTANO WA MAPOKEZI YA MWENYEKITI NA SEKRETARIETI MPYA YA CHAMA CHA MAPINDUZI.

*ZIAFUATAZO NI PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO YALIYOSISIMUA
Melfu wakiwa wamefurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam, wakati wa mapokezi rasmi ya Mwenyekiti wa CCM, Taifa, Rais Jakaya Kikwete na safu yote mpya ya uongozi wa CCM. (picha na Bashir Nkoromo)​
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia baadhi ya viongozi
Mmoja wa wanan-CCM waliohudhuria sherehe hizo, akiwa na bango kufikisha ujumbe wa wengi
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na meza kuu wakiwa wamesimama wakati ukiimbwa wimbo maalum wa CCM wakati wa sherehe hizo
Asley na Tundaman wakitoa burudani kwenye mkutano huo
Mapema Rais Kikwete alikabidhiwa shada la maua na mtoto maalu
Mama Salma Kikwete ambaye pia alikuwepo mstari wa mbele katika sherehe hizo, alikabidhiwa shada la maua
Ikawa ni kujimwaya mwaya hadi mwisho wa sherehe, Picha zote na Bashir Nkoromo​

Posted by CCM Blog at 6:28 AM 0 comments Email This BlogThis!
 
mikutano mpaka mlete wa sanii! Na watu muwape nguo za bure!

Ndio maana migwanda yenu hainunuliwe wanavaa viongozi tu mwananchi wa kawaida atatoa wapi zaidi ya elfu50 yakununua gwanda wachaga bwana kwa miradi lakini mradi umedoda
 
Nashangaa huyu Mlinzi wa Rais ndio leo yupo kwa mama migiro, tazama picha ya mamamigiro, ngoja nifanye utafiti wangu kwenye chanzo fulani then nitarudi. Kwa wasiomfahamu huyo bwana ni muhimu sana kwa kesi zijazo the HAGUE.
 
Hi Salma Kikwete anacheo gani vile kwenye chama?
Naona kawapiku hata manaibu wenyeviti bara na zenji.
Huyu mama mbona kielaele sana.
Amwache mmewe fanye kazi make alochaguliwa ni JK wala jina la Salma halijapigiwa hatakura ya usaidizi.
 
4.jpg

ASHA ROSE MIGIRO Alivyokuwa UN Alikuwa HAFICHI NYWELE sasa nini Kimetokea? Au ndio Style ya Kuomba KURA? Au ndio Ishara ya KUBAGUANA?

IMF+Conference+Tanzania+Discuss+Global+Financial+860S5Yuwgmnm.jpg

George+Clooney+Holds+Press+Conference+United+Ni8aABZcAvYm.jpg
 
hiyo ndiyo kazi inayomfaha migiro ya kushangilia wakubwa kiongozi gani wa UN anashindwa hata kukemea uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu katika nchi yake mwenyewe refer kesi ya ulimboka na mwangosi ameshindwa hata kutoa statement yenye sentensi mbili. mnafiki mkubwa huyu
 
mama mkwe wangu ZAKIA MEGJI nimempa UTUNZA HAZINA
na meneja kampeni wangu ABDURAHMAN KINANA nimempa UKATIBU MKUU
 
Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahaman Kinana,akisalimiana na Katibu wa Mkoa wa Vyuo Vikuu ,Christopher Ngubiagai, leo tarehe 19/11/2012 , Ofisi Ndogo CCM Lumumba.

Katibu wa Uchumi wa Fedha Mama Zakhia Meghji akipokelewa makao Makuu wa Chama, Ofisi Ndogo Lumumba.

Dk.Asha Rose Migiro,Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa akipokelewa kwa furaha. CCM Ofisi ndogo Lumumba.

MKUTANO WA MAPOKEZI YA MWENYEKITI NA SEKRETARIETI MPYA YA CHAMA CHA MAPINDUZI.

*ZIAFUATAZO NI PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO YALIYOSISIMUA
Melfu wakiwa wamefurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam, wakati wa mapokezi rasmi ya Mwenyekiti wa CCM, Taifa, Rais Jakaya Kikwete na safu yote mpya ya uongozi wa CCM. (picha na Bashir Nkoromo)​
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia baadhi ya viongozi
Mmoja wa wanan-CCM waliohudhuria sherehe hizo, akiwa na bango kufikisha ujumbe wa wengi
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na meza kuu wakiwa wamesimama wakati ukiimbwa wimbo maalum wa CCM wakati wa sherehe hizo
Asley na Tundaman wakitoa burudani kwenye mkutano huo
Mapema Rais Kikwete alikabidhiwa shada la maua na mtoto maalu
Mama Salma Kikwete ambaye pia alikuwepo mstari wa mbele katika sherehe hizo, alikabidhiwa shada la maua
Ikawa ni kujimwaya mwaya hadi mwisho wa sherehe, Picha zote na Bashir Nkoromo​

Posted by CCM Blog at 6:28 AM 0 comments Email This BlogThis!

Napita tuu wakuu kwani hii siwezi kuchangia chohote ni zambi kubwa sana kuchangia hii niya ritz ngongo na magamba wote humu jf wasio kuwa na akili hata ya dawa wa magamba jipangeni upya hata mfanyaje mmesha poteza mwelekeo
 
Mbona hapa ccm wanaonekana wanacopy shirt za chadema kuweka vipete juu?
 
Hongora mwenyekiti wa ccm JK kwa kuipanga safu ya secretarieti yako na kwa kujionyesha jinsi ulivyo kutoka moyoni mwako.Kwa maoni yangu umeipanga vizuri kukidhi kile ambacho hutarajii kitokee 2015.CCM kuaga dola 2015.utafikiri sio chama cha kitaifa.rais wetu udini umekujaa.safu haionyeshi hata chembe ya utaifa bali udini tu ndio tunauona.Watanzania tunafurahia mistake hiyo kwani inongeza mtaji wa CHADEMA katika kujihakikishia ushindi wa kishindo 2015.
 
Tutaacha lini tabia hizi "udini" , "udini". Wewe ni dalili ya ujio wa shetani katika dunia.
 
Back
Top Bottom