R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,573
Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahaman Kinana,akisalimiana na Katibu wa Mkoa wa Vyuo Vikuu ,Christopher Ngubiagai, leo tarehe 19/11/2012 , Ofisi Ndogo CCM Lumumba. |
Dk.Asha Rose Migiro,Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa akipokelewa kwa furaha. CCM Ofisi ndogo Lumumba. |
MKUTANO WA MAPOKEZI YA MWENYEKITI NA SEKRETARIETI MPYA YA CHAMA CHA MAPINDUZI.
*ZIAFUATAZO NI PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO YALIYOSISIMUA
Melfu wakiwa wamefurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam, wakati wa mapokezi rasmi ya Mwenyekiti wa CCM, Taifa, Rais Jakaya Kikwete na safu yote mpya ya uongozi wa CCM. (picha na Bashir Nkoromo)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia baadhi ya viongoziMmoja wa wanan-CCM waliohudhuria sherehe hizo, akiwa na bango kufikisha ujumbe wa wengi
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na meza kuu wakiwa wamesimama wakati ukiimbwa wimbo maalum wa CCM wakati wa sherehe hizo
Asley na Tundaman wakitoa burudani kwenye mkutano huo
Mapema Rais Kikwete alikabidhiwa shada la maua na mtoto maalu
Mama Salma Kikwete ambaye pia alikuwepo mstari wa mbele katika sherehe hizo, alikabidhiwa shada la maua
Ikawa ni kujimwaya mwaya hadi mwisho wa sherehe, Picha zote na Bashir Nkoromo
Posted by CCM Blog at 6:28 AM 0 comments Email This BlogThis!