Picha: Korea Kusini ni nchi inayoongoza kwa watu wanaofanya upasuaji wa kubadili mwili(plastic surgery)

Bilionea kid

JF-Expert Member
Oct 19, 2018
581
516
IMG_20181217_203724_655.jpg


Korea kusini, ndio nchi inayo ongoza Duniani kwa Raia wake kufanya plastic surgery (matengenezo ya mwili), ili kuleta muonekano mzuri kwao. Hii picha imekuwa gumzo sana mitandaoni, kutokana na wanawake hawa kufanya matengenezo ya mwili ili kuwa na muonekano mzuri Unaambiwa katika hii picha uyo wa katikati, ni mama wa hao wa wili wa pembeni na ana miaka 63.. Huyo wa pembeni kulia ni mtoto wake anaitwa Lure Hsu, mwenye miaka 41, na huyo wa pembeni kushoto ni mtoto wake pia, anaitwa Sharon, mwenye miaka 36 MWISHO
 
Kuna jamaa mmoja marekani Alifanya operation akabadili jinsia akawa wakike akapata bwana, asa akawa anashangaa Mbona hapati mimba kumuuliza bwanaake akamjibu hata yeye zamani alikuwaga wa kike akabadili jinsia kuwa wa kiume Ila operation haikufanikiwa hundred percent hivyo hawezi kuzalisha.....

Mdada mkaka akazimia hapohapo
 
Duuh! Hii Qalii
Kuna jamaa mmoja marekani Alifanya operation akabadili jinsia akawa wakike akapata bwana, asa akawa anashangaa Mbona hapati mimba kumuuliza bwanaake akamjibu hata yeye zamani alikuwaga wa kike akabadili jinsia kuwa wa kiume Ila operation haikufanikiwa hundred percent hivyo hawezi kuzalisha.....

Mdada mkaka akazimia hapohapo
 
View attachment 970713

Korea kusini, ndio nchi inayo ongoza Duniani kwa Raia wake kufanya plastic surgery(matengenezo ya mwili), ili kuleta muonekano mzuri kwao. hii picha imekuwa gumzo sana mitandaoni, kutokana na wanawake hawa kufanya matengenezo ya mwili ili kuwa na muonekano mzuri Unaambiwa katika hii picha uyo wa katikati, ni mama wa hao wa wili wa pembeni na ana miaka 63..Huyo wa pembeni kulia ni mtoto wake anaitwa Lure Hsu, mwenye miaka 41, na huyo wa pembeni kushoto ni mtoto wake pia, anaitwa Sharon, mwenye miaka 36 MWISHO
Hawa Jamaa Hata Wakati Wa Kutafuta Ajira, Sura Nayo Ni Kigezo Mojawapo Cha Kupata Kazi! Ndio Maana Kama Wewe Si Handsome Au Beautiful Hakuna Namna Inakubidi Tu Ukachonge Uso!
 
Hiyo picha si ya kweli, ila ni kweli kua Korea inaongoza kwa plastic surgery, nilikaa Korea miaka kama minne, ile sehemu inatisha aisee, gangnam ukipita sehemu inaitwa karosugil kuna matangazo ya hospitali za plastic surgery kila kona, yaani huwezi tembea maduka 10 usione sehemu ya plastic surgery, na huwezi pishana na wadada 10 usione angalau 5 waliofanya plastic surgery, ni balaa.
 
Back
Top Bottom