PICHA: Kiti cha Rais huwa kinafunikwa mpaka awasili kwenye hadhara?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mara kadhaa nimekuwa nikiona kitu cha Mhe Rais kufunikwa kabla hajawasili kwenye mikutano, makongamano n.k. Pia hata kwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Ni kwanini huwa wanakifunika ?

20210608_174733.jpg
 
Ukiwa unafanya kazi sehemu kwa boss ukiona huna la kufanya unajianzishia lolote huku umevaa ile tisheti imeandikwa "KEEP BUSY.JESUS IS COMING PRESENTLY"!Natania😂😂😂😂
 
Ni Kwa usalama, kuzuia mtu asimwage unga wa sumu n.k
Kuna kemikali hatari Sana hasa Kutoka pande za Soviet na nchi zilizokuwa za kijamaa, chembe chembe kidogo tu unalamba mchanga
 
Urais ni kama Ufalme. Ni uongozi wa juu wa Taifa. Hivyo kiti anachokalia ni kama "Kiti cha Enzi". Kina nembo ya Taifa ya Bibi na Bwana, si kiti cha kawaida tu. Hivyo kama hayupo anauestahili lazima kifunikwe. Hata gari la Rais lenye nembo Waziri Mkuu hawezi kukaa likiwa na alama hiyo.
 
Back
Top Bottom