Picha:kinana ni fagio la chuma,azungumza na wanafunzi elimu ya juu,avuna wanachama wapya

Taswira

Taswira

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Messages
1,198
Likes
12
Points
0
Age
28
Taswira

Taswira

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2012
1,198 12 0
Picha zote ni Zira ya Mh.Kinana hii leo Njombe,Katibu Mkuu huyu wa CCM emeendelea kuwa na mafanikio makubwa sana kwenye ziara zake,Njome amevuna wanafunzi wa elimu ya juu zaidi ya 79.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanafuzni wa vyuo vikuu mkoani Njombe wakati alipowasili katika Chuo cha maendeleo ya jamii Njombe ambapo amekutana na wanafunzi mbalimbali wa elimu ya juu mkoani humo na kusikiliza kero zao mbalimbali Kinana amefanya ziara maalum ya kikazo katika koa wa Njombe baada ya kumaliza ziara yake ndefu ya mikoa ya Ruvuma kamati na Mbeya Alhamisi iliyopita akiongozana na wajumbe wa kamati kuu ya CCM Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi, kinana pia alishiriki katika uzinduzi wa albam ya kikundi cha sanaa cha Vicheko Sanaa Group cha Njombe uliofanyika mjini Njombe leo (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-NJOMBE)

Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akisalimiana na Mhadhili wa Chuo cha Amani Njombe wakati alipowasili katika mkutano na wanafunzi wa elimu ya juu mjini Njombe.

Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika mkutano huo.

Baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu wakiskiliza kwa makini wakati karibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza nao chuoni hapo.

Mmoja wa wanafunzi kutoka chuo cha uuguzi Njombe Omary Sadiki akitoa kero mbalimbali zinazokabili chuo hicho wakati wa mkutano huo

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi hao katika mkutano uliofanyika kwenye chuo cha maendeleo ya jamii Njombe.

Mkuu wa wilaya ya Njombe Sara Dumba akifafanua mambo mabalimbali yanayokwamisha maendeleo katika chuo cha uuguzi cha Njombe wakati akijibu maswali ya wanafuzi wa chuo hicho.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili katika uzinduzi wa albam ya kikundi cha Vicheko Sanaa Group Njombe iitwayo Amani Tanzania uliofanyika mjini humo leo.

Kikundi cha Vicheko Sanaa Group cha mjini Njombe kikitumbuizakatika uzinduzi huo uliofanyika mjini Njombe

Hiki ni miongozni mwa vikundi vya sanaa vilivyoshiriki katika uzinduzi huo.

Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi huo.

Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi akizungumza katika uzinduzi huo

Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika uzinduzi huo

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza wakati akizindua albam hiyo ya Amani Tanzania

Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi akishiriki kupiga ngoma katika uzinduzi huo wa albam ya Amani Tanzania o

Kikundi cha ngoma za asili ya mkoa wa Njombe kikitumbuiza katika uzinduzi huo.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha albam ya Amani Tanzania iliyorekodiwa na kikundi cha Vicheko Sanaa Group cha mkoani Njombe leo katika uzinduzi uliofanyika mjini humo kushoto ni mwenyekiti wa umoja wa vijana mkoa wa Njombe Amani Fute.Baadhi ya wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi CCM wakila kiapo huku wakiwa wamenyanyua kadi zao juu mara baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo.
 
Mchumba

Mchumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Messages
271
Likes
151
Points
60
Mchumba

Mchumba

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2012
271 151 60
CCM mnaweweseka sana

Mkutano umesusiwa hamna jipya
 
2hery

2hery

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2011
Messages
4,151
Likes
3,002
Points
280
2hery

2hery

JF-Expert Member
Joined May 27, 2011
4,151 3,002 280
wanafunzi wa elimu ya juu ya wapi.maana kuna juu ya chungu,juu ya mnazi, juu ya jiwe juu ya ncha ya upanga?fafanua mkuu
 
Deshmo

Deshmo

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
4,695
Likes
3,380
Points
280
Deshmo

Deshmo

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
4,695 3,380 280
Kafagia tembo wetu
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,514
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,514 280
hata hapa pia ni njombe.

Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,514
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,514 280
Picha zote ni Zira ya Mh.Kinana hii leo Njombe,Katibu Mkuu huyu wa CCM emeendelea kuwa na mafanikio makubwa sana kwenye ziara zake,Njome amevuna wanafunzi wa elimu ya juu zaidi ya 79.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanafuzni wa vyuo vikuu mkoani Njombe wakati alipowasili katika Chuo cha maendeleo ya jamii Njombe ambapo amekutana na wanafunzi mbalimbali wa elimu ya juu mkoani humo na kusikiliza kero zao mbalimbali Kinana amefanya ziara maalum ya kikazo katika koa wa Njombe baada ya kumaliza ziara yake ndefu ya mikoa ya Ruvuma kamati na Mbeya Alhamisi iliyopita akiongozana na wajumbe wa kamati kuu ya CCM Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi, kinana pia alishiriki katika uzinduzi wa albam ya kikundi cha sanaa cha Vicheko Sanaa Group cha Njombe uliofanyika mjini Njombe leo (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-NJOMBE)

Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akisalimiana na Mhadhili wa Chuo cha Amani Njombe wakati alipowasili katika mkutano na wanafunzi wa elimu ya juu mjini Njombe.

Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika mkutano huo.

Baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu wakiskiliza kwa makini wakati karibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza nao chuoni hapo.

Mmoja wa wanafunzi kutoka chuo cha uuguzi Njombe Omary Sadiki akitoa kero mbalimbali zinazokabili chuo hicho wakati wa mkutano huo

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi hao katika mkutano uliofanyika kwenye chuo cha maendeleo ya jamii Njombe.

Mkuu wa wilaya ya Njombe Sara Dumba akifafanua mambo mabalimbali yanayokwamisha maendeleo katika chuo cha uuguzi cha Njombe wakati akijibu maswali ya wanafuzi wa chuo hicho.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili katika uzinduzi wa albam ya kikundi cha Vicheko Sanaa Group Njombe iitwayo Amani Tanzania uliofanyika mjini humo leo.

Kikundi cha Vicheko Sanaa Group cha mjini Njombe kikitumbuizakatika uzinduzi huo uliofanyika mjini Njombe

Hiki ni miongozni mwa vikundi vya sanaa vilivyoshiriki katika uzinduzi huo.

Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi huo.

Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi akizungumza katika uzinduzi huo

Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika uzinduzi huo

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza wakati akizindua albam hiyo ya Amani Tanzania

Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi akishiriki kupiga ngoma katika uzinduzi huo wa albam ya Amani Tanzania o

Kikundi cha ngoma za asili ya mkoa wa Njombe kikitumbuiza katika uzinduzi huo.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha albam ya Amani Tanzania iliyorekodiwa na kikundi cha Vicheko Sanaa Group cha mkoani Njombe leo katika uzinduzi uliofanyika mjini humo kushoto ni mwenyekiti wa umoja wa vijana mkoa wa Njombe Amani Fute.Baadhi ya wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi CCM wakila kiapo huku wakiwa wamenyanyua kadi zao juu mara baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo.
Kwa haraka nikwamba hata hapo chuoni watu hawakuwa na haja sana..kwani watu wapo mbali sana na vikundi vidogo vidogo?NI wazi hawakuwa sehemu yahuo mkutano ndio maana wakaa mbali kwa vile si shemu rasmi ya tukio>Karibu hakuna kabisa watu.

Wale ktk ukumbi sijui ukitoa wana msafara wa CCM ,walinzi na wafanya kazi wa bustani hapo chuoni..utbaki na wangapi.

bado mnayo kazi.
Nimequote kwa vile najua mtabadili pictures.
 
chuki

chuki

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,694
Likes
17
Points
135
chuki

chuki

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,694 17 135
Kinana anawamaliza vilivyo hawa wabaguzi.
 
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,740
Likes
9
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,740 9 0
Unatumia kamchina kakizamani nini? mbona sisi tunaziona picha.
hahahahaha hahahahaha mbavu sina labda hzo smu za mchna ndio toleo la mgawo mpya walilopewa redbrgade na viongoz wa cdm makao makuu ambao ni pro mbowe ili kwenda mikoan espcl kusni..lake zone na central Tanzania kuhakikisha kuwa mbowe anakua mwkt wa maisha kama kamuz banda na mwkt wa kudumu kwenye mgao wa kwenda kusomba na kukodi vijana wa kumshangilia katbu mzee kijana silaha kigoma ili kuwadanganya watanzania kuwa chadema inakubalika kigoma wakati si kweli
 
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,740
Likes
9
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,740 9 0
ni Pm faiza fox shujaa kboko cha ufpa street
 
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,740
Likes
9
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,740 9 0
ofisi ya kupanga ufpa pesa alizowapa sabodo kwenda kujenga ofs wamekula mwkt..katbu mkuu na mwasisi mikoan ofsi ni stationary
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,514
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,514 280
najiuliza hilo..halfu niustawi wa jamii sijui...nashindwa elewa walikuwa na hostel huko ..au wanafunzi waliorudi likizo ndio wamepewa jina zuri ili wastahili tumika.
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,600 280
Kinana kawachanganya sana chdema wanabaki kugombana kila siku na kutunga uongo.
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,600 280
najiuliza hilo..halfu niustawi wa jamii sijui...nashindwa elewa walikuwa na hostel huko ..au wanafunzi waliorudi likizo ndio wamepewa jina zuri ili wastahili tumika.
Huwezi kuelewa make wengi wa bavicha huanza kwa viroba mpaka vikao sawa tena ndipo utakuwa sawa kwa sasa zimekula.
 
Forum statistics

Threads 1,251,868
Members 481,917
Posts 29,788,291