PICHA,Kinana afunika Rujewa,CCM yazidi kuimarika kuelekea uchaguzi mkuu

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
[h=3] [/h]
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa shue ya Msingi Rujewa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia maelfu ya watu katika Uwanja wa shue la Msingi Rujewa, wilayani Mbarali katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akihutubia maelfu ya watu katika Uwanja wa shue la Msingi Rujewa, wilayani Mbarali katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013.
Maelfu ya wananchi wakiishangilia CCM, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa shuela Msingi Rujewa, wilayani Mbarali katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013.
Kinana akitazama ngoma ya jamii ya wafugaji wa Kimasai kwenye mkutano wa hadhara, Rujewa,wilayani Mbarali, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013.
Vijana wa Kimasai wakitoa burudani katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika Des 2, 2013,katika Kata ya Rujewa, wilatani Mbarali Mbeya
Mabinti wa Kimasai wakishangilia katika mkutano wa hadhara wa CCM, uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kwenye uwanja wa shule ya msingi Rujewa wilayani Mbararli mkoani
Mbeya.
Kinana akiwaaga wananchi baada ya kuwahutubia katika Uwanja wa shulke ya msingi Rujewa, wilayani Mbarali, Mbeya Des 2, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akikagua eneo la mto unaosambaza maji kwa ajili ya mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa Mwendamtifu, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. Mradi huo umeelezwa kuwa na mgogoromkubwa wa ardhi kati ya wananchi na mwekezaji mmoja katika eneo hilo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (watatu kushoto) akiwasili kwenye mkutanowa hadhara aliohutubia, kwenye Uwanja wa shule ya msingi Rujenwa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013. Wengine kutoka kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Katibu wa CCM mkoawa Mbaya Maganga Sengerema, Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abas Kandoro na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua tawila CCM Ihanga, kata ya Rujewa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Godfrey Zambi na Watatu ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Rujewa, Widen Ndamu.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na msafara wake wakipokewa kwa shangwe na wananchi baada ya kuwasili katika Kata ya Rujewa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013. Imetayarishwa na theNkoromo Blog.
 
Huyu mama ameshaitelekeza familia yake -- maana anazunguka tu
10.+Kinana+akiwasili+kwenye+mkutano,+Rujewawilayani+Mbarali+mkoani+Mbeya.jpg
 
Kinana hakamatiki slaa atashuhudia vumbi tu mengine atasimuliwa hii spidi si ya polepole hata kidogo.
 
Huyu mama ameshaitelekeza familia yake -- maana anazunguka tu
10.+Kinana+akiwasili+kwenye+mkutano,+Rujewawilayani+Mbarali+mkoani+Mbeya.jpg
Cheki ulivyo mmbea umemuona huyu mama tu wengine wote hujawaona kwani wewe mama yako yuko wapi weki heshima kwa akina mama wamekuzaa kuwa na adabu huoni kuwa yuko kazini.
 
Huyu mama ameshaitelekeza familia yake -- maana anazunguka tu
10.+Kinana+akiwasili+kwenye+mkutano,+Rujewawilayani+Mbarali+mkoani+Mbeya.jpg

Kwavile mama yako ni mama wa nyumbani usitake na mama wa wenzako wawe ma-Goal Keeper kama mama yako.

It's 21st Century.
 
CCM inazidi kuimarika na wakati huo huo CHADEMA wako busy kuchoma moto ofisi zao.

Kweli nambari wani ni CCM.

Hivi hii CCM inayosemekana inaimarika ina miaka mingapi? Nilitegemea katibu mkuu wake apite akiwaambua wananchi ni kwa kiasi gani ahadi zake zmetekelezwa na siyo vinginevyo.
 
Hivi hii CCM inayosemekana inaimarika ina miaka mingapi? Nilitegemea katibu mkuu wake apite akiwaambua wananchi ni kwa kiasi gani ahadi zake zmetekelezwa na siyo vinginevyo.
wewe kweli shule imekupa mgongo, unafaham Tz inawananchi wangapi na Ccm cchama dume kinawafuasi wangapi? inaonesha upeo wako wa kufikili ni sawa na mtoto wa kindagate.
 
kwetu MBEYA , CCM ilizikwa siku nyingi sana ! namshangaa KINANA kupoteza muda wake , kama ni suala la posho , mbona ni rahisi sana kula hela ya ccm kuliko hiyo tabu anayoipata !
 
Vipiulifuatilia vizuri mkutano? Je, aliongelea tishio la kutoweka utalii Nyanda za Juu Kusini na Tanzania kwa ujumla - Mauaji ya tembo?
 
Back
Top Bottom