PICHA,Kinana afunika Rujewa,CCM yazidi kuimarika kuelekea uchaguzi mkuu

Huyu mama ameshaitelekeza familia yake -- maana anazunguka tu
10.+Kinana+akiwasili+kwenye+mkutano,+Rujewawilayani+Mbarali+mkoani+Mbeya.jpg


Kauli very primitive ya unyanyasaji wa kijinsia.

Hao wengine kwenye picha hawana familia?

Kwa akili yako wewe mwanamke ni mtu wa kukaa jikoni tu!

Akili za Bavicha hapo ndio mwisho wake...
 
Kweli Absalom Kibanda aliona mbali sana aliposema " Namwogopa Kinana",huyu jamaa sio mtu mzuri huyu kwa matumaini ya vyama vya upinzani.
 
Kinana na Nape wameona ngoma nzito 2015 ni heri watembee nchi nzima kufanya mikutano ya kuaga, maana wanajua hawapiti 2015 mbele ya CHADEMA.
 
Hao washikaji Kinana na Nape wameona hawatatoka 2015 kwa CHADEMA, wameona ni heri waanzishe ziara ya kuaga maana 2015 ndo mwisho wa CCM. Kuleni posho za CCM vijana wangu Kinana na Nape, maana 'wajinga' ndiyo waliwao CCM
 
Msipende sana kushadadia vitu msivyovijua hasa kwenye "SIHASA" yaani "SIASA" CCM, CHADEMA kwangu wote sawa. Kama mipasuko vyama vyote vina mipasuko sasa kuna lipi la tofauti?
 
ni ccm ipi ile ya ccm au ya maccm na ni kinana gani matembo asiyetokea songea au yupi afu sijui hata hiyo mbeya ya rujewa ya wapi kule kwa wakulima mpunga au waaaapi. napata utraaata
 
Kweli Absalom Kibanda aliona mbali sana aliposema " Namwogopa Kinana",huyu jamaa sio mtu mzuri huyu kwa matumaini ya vyama vya upinzani.

huyo kibanda Absalom ni katibu au mwenyekiti wa chama gani cha siasa?
 
kwetu MBEYA , CCM ilizikwa siku nyingi sana ! namshangaa KINANA kupoteza muda wake , kama ni suala la posho , mbona ni rahisi sana kula hela ya ccm kuliko hiyo tabu anayoipata !

Acha kudanganya umma,mbeya ina wabunge wawili tu wa chama pinzani,halafu unasema CCM imezikwa una AKILI WW,au ni mkondo mmoja na mwenyeki wako wa billz
 
huyo kibanda Absalom ni katibu au mwenyekiti wa chama gani cha siasa?

Sikujua kama ili mtu aone mbali ni shurti awe Mwenyekiti au Katibu wa chama cha siasa, ninaweza ona unapotokea kifikra, umetokea kwenye Tanzania ya 1967-1980, Tanzania iliyokuwa imejazwa na "fikra sahihi za Mwenyekiti/Katibu wa chama".

Fahamu tu kuwa huku ulipoibukia ndio tunaumaliziamalizia mwaka 2013, takribani miaka 33 kwa uchache ukilinganisha na huko ulipotokea, taratibu utayazoea mazingira haya mapya.
 
Back
Top Bottom