PICHA: Kinachoendelea jijini Dar leo (Exclusive thread)

RtsHjcq

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,753
5,502
Wakuu habari,

Heri ya sikukuu kwa waislamu wenzetu wote..

Binafsi yangu naona huu uwe uzi maalumu wa kutupia picha mbalimbali wa nini kinachoendelea maeneo mbalimbali nchini haswa ya mkoa wetu pendwa wa Makonda,Dar.

Kama kuna picha,tukio lolote dondosha hapa tushare kwa pamoja,ili tuweze kujuzana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiki ndo kinachoendelea kuosha gar then kwenda shamba kufata kokoto
20200524_115042.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Mombasa karibu na kwa Rugambwa watu wanaonekana na Furaha kiasi Fulani wanasherekea Eid wala siyo corona
 
Back
Top Bottom