PICHA: KILIO cha MIAKA 50 ya UHURU Barabara LAMI RUKWA... Makandarasi WENGI ni WAKICHINA - Angalia


Umeona hapo? na Ukiangalia Hiyo Barabara ina UPANA MZURI kwanini wasifanye sasa? WIZI MTUPU!!!

Engineer alisha approve mchoro tayari. Hiyo ndo Tanzania bwana. Watakwambia bei ya cement hiko juu au sijuhi karavati bei juu.
 
Back
Top Bottom