Picha ; kikwete asaini mkataba wa sarafu moja eac, kagame arudi eac

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
1460981_744651225563433_1277681483_n.jpg


Head EAC signed the Monetary Union Protocol which will provide for a wide scope of co-operation in monetary and financial sectors among the EAC Partner States and will further catalyze trade growth within the region. We are now a people destined for greatness, prosperity and happiness. Our borders are fast becoming mere formalities. As we integrate, we cease to be a group of neighbouring nations, and become one people. Let us think with one mind, speak with one voice and walk on one road to our promised destination, “A better East Africa for all its citizens”. UHURU KENYATTA
 
EAC members wasingekuwa na haraka ya kuwakaribisha nchi za RWANDA, BURUNDI na SOUTH SUDAN mpaka misingi yote ikamilike. Sasa RWANDA imegeuka kansa kwenye EAC.

Wachumi waliobobea wajikite kwenye hili la MONETARY UNION PROTOCAL abt advantage & disavtg
 
Halafu baada ya hapo tunakuja kusaini mkataba unahousiana na mazingira, yaani mambo ya ardhi. Chezea EAC wewe, ukizubaa kidogo tu lazima ukatwe, Je! Tuko tayari kukatwa??? Wakenya tayari wamekubali kukatwa, kwani kutia saini ya kutumika sarafu moja ya EAC, basi sarafu ya kenya itakutana na changamoto nyingi sana kuliko wakati wowote ule.
 
Back
Top Bottom