Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
Je kuna ukweli hapa?
Mimi naona Wazanzibari wao wanafaidika zaidi na muungano ukilinganisha na sisi
Je kuna ukweli hapa?
Mimi naona Wazanzibari wao wanafaidika zaidi na muungano ukilinganisha na sisi
Je kuna ukweli hapa?
Mimi naona Wazanzibari wao wanafaidika zaidi na muungano ukilinganisha na sisi
Hakuna ukweli hapa,mchora katuni hajawawakilisha wazanzibari hapo,Mzanzibari gani ana KISOGO? Wale jamaa ni flat screen.
Je kuna ukweli hapa?
Mimi naona Wazanzibari wao wanafaidika zaidi na muungano ukilinganisha na sisi
Huoni hapo anachopewa? Vinginevo Watanganyika wangedai MUUNGANO sahihi wa serikali TATU ati. WANAFAIDIIIIIIIIIIIIII.Wanzanzibar wanawapa nini watanganyika mpaka tunaona watanganyika wanafaidika na Muungano?
Kufa muungano hatuombei ila UBORESHWE kwa kuwa na serikali TATU. Muungano DAIMA MBELE!!!!!!!Siku muungano ukivunjika wanawake wa ZANZIBAR watajuta kuzaliwa kwani utawala wa SHARIA ya kiislam utaanzishwa ambapo watazuiwa kwenda shule, wakikamatwa wamezini watapondwa mawe hadi kufa. Muungano ukivunjika itapatikana PEMBA na UNGUJA-nje ya muungano hakuna ZANZIBAR
Mimi naona picha hii haina ukweli bali ni upotoshaji tu,tangu lini mtu aliyekondeana kama huyo Mzanzibar akawa na uwezo wa kumlisha mtanganyika?Naona ingefaa hicho kijiko kingekuwa kinatoka kwa mtanganyika kwenda kwa mzanzibar ingeleta maana.Huoni hapo anachopewa? Vinginevo Watanganyika wangedai MUUNGANO sahihi wa serikali TATU ati. WANAFAIDIIIIIIIIIIIIII.
Jamani hivi ni lini muungano utakapovunjika?
Yaani siku hiyo nyumbani kwangu lazima nifanye sherehe,
Hii ndo hali halisi kwani malikia wa mchwa hutafuta mwenyewe chakula ndugu yangu?Mimi naona picha hii haina ukweli bali ni upotoshaji tu,tangu lini mtu aliyekondeana kama huyo Mzanzibar akawa na uwezo wa kumlisha mtanganyika?Naona ingefaa hicho kijiko kingekuwa kinatoka kwa mtanganyika kwenda kwa mzanzibar ingeleta maana.
Ki vipi wakati umekaa unalishwa tuuuuuu. Baba wa taifa alizunguka nchi nzima kudai UHURU wa KWELI.mi nasubiri kwa hamu sana nione uhuru wa Tanganyika kwa mara ya pili