Picha katika macho yaliyofumbwa!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,506
Nimejiuliza sana kuhusu hili:
Unapofumba macho, kuna vipicha flani iwe ya motion au siyo motion vinaonekana pale unapofumba macho. Sasa, kuna picha flani au image zinajitokeza ambazo hujawahi kushuhudia katika maisha yako, mfano nakumbuka kuna wakati nilifumba tu macho nilishuhudia vigololi vidogo kama vitano vilijizunguka palepale kwenye kisahani, hivi zile picha zinabeba ujumbee uliokusiudiwa ama?
Tuelimishane wakuu....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom