Picha: Katibu Mkuu CUF Maalim Seif Shariff Hamad atua kisiwani Pemba kwa Sherehe Maalum

knock knock

JF-Expert Member
Mar 8, 2018
326
384
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad asubuhi hivi ya Leo amewasili kisiwani Pemba Kwa ajili ya Kushiriki katika Sherehe za Kutimiza Muaka 10 tangu Kuanzishwa Rasmi Kwa JUKE CUF Zinazofanyika Katika Ukumbi wa Dolphin Uliopo Bobwe jimbo la Gando Wilaya ya Wete Pemba.

Na.Salim Bimani

41462076_2101959113182047_4989185876782219264_n.jpg


41312882_666851653699845_1972563571497762816_n.jpg


41395941_666851710366506_2425830758942769152_n.jpg
 

Attachments

  • 41360569_666851763699834_783483768018042880_n.jpg
    41360569_666851763699834_783483768018042880_n.jpg
    100 KB · Views: 18
Ameanza kutembea na Kifimbo, Mtatiro alichezwa na Machale mapema hiyo fimbo ingekatikia kichwani kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom