Picha: Kampeni za CHADEMA Leo (7/6/2013)

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
photo(14).JPG
Mkutano wa chadema hii leo kata ya Elerai, chadema inazidi kuwa poteza wapinzani wao kwa wananchi wa Arusha kujitokezakwenye mikutano yake tofauti na matamasha ya fiesta yanayofanywa na chama cha majangiri wangoa kucha na meno bila ganzi..
 
View attachment 96753

What do you mean Picha kampeni za Chadema Leo
and there is only one picture?!
 
Wali wa kushiba unauona kwenye sahani.
Hapa hakuna maswali ushindi wa chadema ni dhahiri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
What do you mean Picha kampeni za Chadema Leo
and there is only one picture?!
Kwani neno picha linaimanisha picha ngapi hata hivyo nilikuwa naendelea kuweka tegemea update za kutosha kuanzia jumapili...
 
Wali wa kushiba unauona kwenye sahani.
Hapa hakuna maswali ushindi wa chadema ni dhahiri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mkuu uliuona mkutano wa mgoa meno bila ganzi jana elerai ilikuwa aibu..
 
inapendeza sana aisee mungu akubariki anaye niuzi zaidi ni huyu meya wa kuchongwa hapo arusha tarehe 16 natamani ndio iwe mwisho wake kujiita meya.......
 
Kwani neno picha linaimanisha picha ngapi hata hivyo nilikuwa naendelea kuweka tegemea update za kutosha kuanzia jumapili...

Kaka jana baada ya jamaa kuumbuka elerai leo kasomba watu kutika kingori na kule kwa medee
 
Hebu mwenye picha ya mikutano ya Maalim ccmb na mzinzi wa Iramba aziunganishe hapa tutangaze diwani.mods plz tusaidie
 
Shukrani Crashwise, imekuwa vizuri Eng. Mpinga ameamua kuwa active kwenye siasa za Arusha. Huyu aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha kabla ya kamanda Mwigamba.by the way where is Mwigamba, ni muda sasa sijamsikia.
 
Watu wamekaa vizuri, kwa utulivu na sura za tabasamu huki wakisikiliza hotuba nzuuri ya kamanda lema.viva chadema, viva makamanda!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom