Picha: Kali ya mwaka askari ghafla asimama na kuanza kuchora chini sababu haijulikani

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

WEDNESDAY, NOVEMBER 28, 2012

HII KALI YA MWAKA ASKARI GHAFLA ASIMAMA NA KUANZA KUCHORA CHINI SABABU HAIJULIKANI



HII KALI SIJUI ASKARI HUYU ALIKUWA ANACHORA NINI HAPO CHINI HII NI BARABARA YA MBEYA PEAK KWENDA UWANJA WA SOKOINE MBEYA
KWAKWELI IMECHUKUA MUDA KAMA DAKIKA TANO AKIENDELEA KUCHORA HAPO CHINI TUMESHINDWA KUPATA NAMBA ZAKE AU JINA LAKE LAKINI TUNAHISI HUWENDA MAHESABU YA KIFEDHA YANAMSUMBUA
SASA KAINUKA NA KUANZA KUFUTA KWA BUTI LAKE MAANDISHI ALIOANDIKA HAPO CHINI

Picha kwa hisani ya Joachim nyambo














 

Nchi zingine ni SHERIA kila MWAKA POLISI kuchunguzwa AKILI na Pia Kama Wanavuta BANGI...
Wa KWETU HATUFANYI HIVYO NDIO MAANA WANAUA WANANCHI KAMA NDEGE
 
tarehe ndo zimefika,babu anataka aone wajukuu zake moshi,leo magari yote hayana makosa,mke anataka nguo ya kwenda kitchen party,....maisha magumu,,nyie sikieni tu kwenye bomba,omba sana yasikukute.
 
Labda alikuwa anapangilia budget ya fedha anazotegemea kupata. Mwisho wa mwezi unakaribia jama.
 
Hapana. Inaonekana ana suala binafsi linamzonga. Unajua maisha ni magumu sana kwa Mtanzania wa kawaida? Tunatembea mili tu akili ziko kwingine!. Dunia hii jamani acheni kabisa.
 
Maisha magumu wanakosa mpaka pesa za kalamu nasikia mpaka sasa hawajapata posho wala mshahara.
 
Anatafuta sampuli kwa ajili ya kipimo cha forencic au DNA kama kielelezo cha ushahidi mahakamani.
 
Back
Top Bottom