Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,731
- 749
Ni siasa chafu na zisizovumilika, na ni dalili za CCM kushindwa kufanya kampeni majukwaani kwa sera sasa wanawashambulia wafuasi wa CHADEMA na kuwajeruhi kwa lengo la kuwapotezea uhai wao. Tumetoka hosital i ya Mount Meru kumuona tukiwa na Mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema.
Serekali ya CCM inapaswa kutambua kwamba uvumilivu unamwisho lazima ufikie mwisho unyanyasaji, tumechoka kuona wanachama na viongozi wetu wakiuwawa kinyama na wengine kujeruhiwa vibaya Mwaka jana Kwenye uchaguzi wa Daraja mbili Tulijeruhiwa sana na kuumizwa hadi sasa serekali haikuwachukulia hatua zozote zile za kisheria Imekuwa mazoe kwa kupigwa kutekwa kunyofolewa kucha , Watabue na waelewe kwamba kila lenye mwazo basi lina mwisho, Kama wanaona kupiga kuteka na kunyanyasa ni njia ya kupata Ushindi Arusha basi wamekosea wakumbuke daraja Mbili tulipigwa lakini tulishinda Hivyo hivyo arumeru Ushindi wetu arusha uko palepale hakuna wakuzuia mabadiliko.Jana walifanya walivyotaka na kumjeruhi kijana wa Majengo kata ya Elerai huyu hapa pichani ameumizwa vibaya bila hatia yoyote. "Kupiga, kuua ama kuumiza watu hakuisaidii kamwe CCM kushinda Kwenye Chaguzi;
"KAMWE HATATARUDI NYUMA'