PICHA: Kada wa CHADEMA, Amos ajeruhiwa vibaya kwa Shoka na GREENGUARD wa CCM Arusha

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Oct 8, 2007
2,731
749
Ni siasa chafu na zisizovumilika, na ni dalili za CCM kushindwa kufanya kampeni majukwaani kwa sera sasa wanawashambulia wafuasi wa CHADEMA na kuwajeruhi kwa lengo la kuwapotezea uhai wao. Tumetoka hosital i ya Mount Meru kumuona tukiwa na Mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema.

Serekali ya CCM inapaswa kutambua kwamba uvumilivu unamwisho lazima ufikie mwisho unyanyasaji, tumechoka kuona wanachama na viongozi wetu wakiuwawa kinyama na wengine kujeruhiwa vibaya Mwaka jana Kwenye uchaguzi wa Daraja mbili Tulijeruhiwa sana na kuumizwa hadi sasa serekali haikuwachukulia hatua zozote zile za kisheria Imekuwa mazoe kwa kupigwa kutekwa kunyofolewa kucha , Watabue na waelewe kwamba kila lenye mwazo basi lina mwisho, Kama wanaona kupiga kuteka na kunyanyasa ni njia ya kupata Ushindi Arusha basi wamekosea wakumbuke daraja Mbili tulipigwa lakini tulishinda Hivyo hivyo arumeru Ushindi wetu arusha uko palepale hakuna wakuzuia mabadiliko.Jana walifanya walivyotaka na kumjeruhi kijana wa Majengo kata ya Elerai huyu hapa pichani ameumizwa vibaya bila hatia yoyote. "Kupiga, kuua ama kuumiza watu hakuisaidii kamwe CCM kushinda Kwenye Chaguzi;
"KAMWE HATATARUDI NYUMA'
602354_468443246573008_656612038_n.jpg
 
CCM wataleta machafuko kama sio vita,chemba and co huu mnaoratibu ni ushenzi!!
 
Hhatushangai kama usalama wa taifa wameamua kuuana mpaka wanakunjana kutumbukizana visimani unadhani watatoa tahadhari kwa wale wanaopanga mauaji,karibu wiki nzima mume kuwa mukikamata watu wana mashoka,bunduki,mapanga mukiwapeleka polisi wanasema hawakuwa na siraha hizo si inamaanisha Kikwete ameamlisha mauuaji vinginevyo RPC na Mkuu wa mkoa wangekemea wamenyamaza kimya kwa sababu wameambiwa ushindi kwa njia ya kuua nina uhakika viongozi wengine watakuja kufa na kuzikwa vipande vipande laana na iwe juu yao
 
Pole sana kamanda Amos. Tunakuombea Mungu Akuponye na kukutia nguvu urudi kwenye mapambano.
Hakika Mungu wetu Aliye Hai Atasimama!
Watafanya kila hila lakini wakumbuke ya kuwa Mungu Hadhihakiwi!
 
It is getting more serious...hili ni tukio la nne kubwa, likihusisha kujeruhi watu na kuharibu mali, yote yanafanywa na CCM dhidi ya CHADEMA na polisi wapo.

Inapaswa kutangazwa ultimatum, dhidi ya polisi na CCM.
 
Amosi tunalia kwa majonzi makubwa damu yako ilete jibu la uhakika hapa Tanzania pigania maisha yako
 
Inasikitisha sana, hizi siasa za kwetu arusha , zitatupeleka pabaya sana, na wala tusidanganyane ccm na cdm wanatuletea bala, ni lazima wana arusha wachukue jukumu kuwaondoa wote. Vyama ni vingi tanzania
 
kwanini wawaondoe wote kwani chadema wanahusikaje na kumjeruhi huyo kijana?asiyekubali kushindwa si mshindani.arusha ni ngome ya chadema ccm wakae pembeni.
 
Inasikitisha sana, hizi siasa za kwetu arusha , zitatupeleka pabaya sana, na wala tusidanganyane ccm na cdm wanatuletea bala, ni lazima wana arusha wachukue jukumu kuwaondoa wote. Vyama ni vingi tanzania

Hapo CDM wanaingiaje tena Mkuu ! Kwanini usiseme CCM wanatupeleka pabaya ?
 
Siku zao zinahesabika sasa hivi tukikamata atupeleki polisi tena ni kipondo cha hatari
 
Nashidwa kuelewa nchi hii inaenda wapi? demokrasia gani hii ya kuchinjana au kuuana, kama magamba na viongozi wake hawakuwa tayari kupokea mfumo wa vyama vingi basi vifutwe kibaki chenyewe,tuone kama watapata misaada ya wahisani,
 
Inasikitisha sana, hizi siasa za kwetu arusha , zitatupeleka pabaya sana, na wala tusidanganyane ccm na cdm wanatuletea bala, ni lazima wana arusha wachukue jukumu kuwaondoa wote. Vyama ni vingi tanzania

Kosa la Chadema lipi hapo? Acha ushabiki wa kisiasa maana unajidhalilisha.
 
Inasikitisha sana, hizi siasa za kwetu arusha , zitatupeleka pabaya sana, na wala tusidanganyane ccm na cdm wanatuletea bala, ni lazima wana arusha wachukue jukumu kuwaondoa wote. Vyama ni vingi tanzania

You have missed the whole point!! CCM ni wauaji!!! You go against them they kill you... they are after power now!!!
 
Ni siasa chafu na zisizovumilika, na ni dalili za CCM kushindwa kufanya kampeni majukwaani kwa sera sasa wanawashambulia wafuasi wa CHADEMA na kuwajeruhi kwa lengo la kuwapotezea uhai wao. Tumetoka hosital i ya Mount Meru kumuona tukiwa na Mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema.

Hiyo picha me naona ya kibaka. Muhuni. Isihusishwe na siasa za vyama.
 
kama una uhakika na unachokisema nanda mahakamani cdm c mna wanasheria. Mtakimbizwa sana na huyo bwana wenu Lema, kuweni makini atawavua hata suruali.
 
Ni siasa chafu na zisizovumilika, na ni dalili za CCM kushindwa kufanya kampeni majukwaani kwa sera sasa wanawashambulia wafuasi wa CHADEMA na kuwajeruhi kwa lengo la kuwapotezea uhai wao. Tumetoka hosital i ya Mount Meru kumuona tukiwa na Mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema.
Natamani ningekuwa arusha ningefanya kitu kibaya sana nipo serious na haya ninayosema MUNGU MMOJA NIPO SERIOUS this is enough nw.
 
Back
Top Bottom