PICHA: Kada wa CHADEMA, Amos ajeruhiwa vibaya kwa Shoka na GREENGUARD wa CCM Arusha

Acheni ujinga huyu ni kibaka kabisa yaani mnasema Kamanda wenu? Muhuni tu kapigwa kitaa kwasababu ya wizi mnaipaka CCM matope. Swali Je Picha ya Lema ipo wapi hapo akimjulia Hali ? Mnafiki mkubwa wewe.....peleka utoto huu kwa watoto wenzako FB. Hapa tunataka facts na sio brabraa.
 
Hizi ndizo siasa za arusha na haya mambo aliyaanza lema wanaarusha kwa vile mmeamua kuwa na siasa za namna hiyo na chadema nalema ndiyo waasisi wa hizo vurugu.
 
Acheni ujinga huyu ni kibaka kabisa yaani mnasema Kamanda wenu? Muhuni tu kapigwa kitaa kwasababu ya wizi mnaipaka CCM matope. Swali Je Picha ya Lema ipo wapi hapo akimjulia Hali ? Mnafiki mkubwa wewe.....peleka utoto huu kwa watoto wenzako FB. Hapa tunataka facts na sio brabraa.
Mkuu nimeuliza arusha hawa jamaa wahuni hii ni picha ya kijana aliyejeruhiwa kwa tukio ambalo inasemekana ni kibaka sasa sijui wanamdanganya nani.
 
Kibwetere unajidhalilisha mbele ya watoto wa kike. Unaongea ujinga tu. Hakuna anayedanganyika tena! Muda wa ccm umeexpaya
 
Ni siasa chafu na zisizovumilika, na ni dalili za CCM kushindwa kufanya kampeni majukwaani kwa sera sasa wanawashambulia wafuasi wa CHADEMA na kuwajeruhi kwa lengo la kuwapotezea uhai wao. Tumetoka hosital i ya Mount Meru kumuona tukiwa na Mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema.
Nakuheshimu sana mkuu lakini kwa mwenendo huu ntakuwa sisomi post zako naona sasa unapotoka wazi wazi . Mi napenda sana michango yk lakini sasa mapenzi ya chama chako yana tawala akili zako na kukufanya kupotoka. Hii Picha ni ya kutengeneza na ungetaka ukweli ungepiga Mbele ya Lema na Kamanda wenzako wakimjulia Hali na sio kumpiga kibaka aliyelazwa hospital. Achana na siasa za maji taka hazitakusaidia na hazijengi Bali zinakuharibia jina lako lililo Zuri humu JF. Kwa hakika angekuwa mtu mwingine ningemtukana maana hatutaki upuuzi uchukuwe nafasi humu JF. Huo ndio ushauri wangu
 
Kweli nimeamini hii nchi hatuna rais bali tunamwili wenye kichwa cha nazi,hv raisi kama ni mwenyekiti wa chama na kiongozi wa nchi anaruhusu mambo haya,mbona policcm wanamambo ya kijinga sana.huo ni uchaguzi wa mamiwani,je? Uchaguzi wa wabunge na rais,,arusha amkeni.
attachment.php
 
Acheni ujinga huyu ni kibaka kabisa yaani mnasema Kamanda wenu? Muhuni tu kapigwa kitaa kwasababu ya wizi mnaipaka CCM matope. Swali Je Picha ya Lema ipo wapi hapo akimjulia Hali ? Mnafiki mkubwa wewe.....peleka utoto huu kwa watoto wenzako FB. Hapa tunataka facts na sio brabraa.

Yaani nikionaga hii I'd nalog off haraka maana sitachelewa kupata ugonjwa wa hasira kali!!wewe ni taka kabisa!!na unakomaa kabisa kuongea upuuzi huo
 
Mkuu nimeuliza arusha hawa jamaa wahuni hii ni picha ya kijana aliyejeruhiwa kwa tukio ambalo inasemekana ni kibaka sasa sijui wanamdanganya nani.

Mkuu kibwete hawa ni wajinga sana huyu ni kibaka tena mwizi mkubwa kapigwa kitaa wanatafuta sympathy humu JF. Basi CDM hawa ndio makamanda wenu basi mnahasara kubwa hadi vibaka mnawatetea? Sasa nimegundua kwanini Lema anaumgwa mkono watu wenyewe hawa basi kazi ipo
 
Kweli nimeamini hii nchi hatuna rais bali tunamwili wenye kichwa cha nazi,hv raisi kama ni mwenyekiti wa chama na kiongozi wa nchi anaruhusu mambo haya,mbona policcm wanamambo ya kijinga sana.huo ni uchaguzi wa mamiwani,je? Uchaguzi wa wabunge na rais,,arusha amkeni.

Mwizi huyu sasa Rais amsaidiaje? Peleka ujinga wako FB hapa tunataka facts sio ati apigwa na green guard wapo wapi? Lema yupo wapi akimjulia Hali? Acha ujinga wewe
 
Nakuheshimu sana mkuu lakini kwa mwenendo huu ntakuwa sisomi post zako naona sasa unapotoka wazi wazi . Mi napenda sana michango yk lakini sasa mapenzi ya chama chako yana tawala akili zako na kukufanya kupotoka. Hii Picha ni ya kutengeneza na ungetaka ukweli ungepiga Mbele ya Lema na Kamanda wenzako wakimjulia Hali na sio kumpiga kibaka aliyelazwa hospital. Achana na siasa za maji taka hazitakusaidia na hazijengi Bali zinakuharibia jina lako lililo Zuri humu JF. Kwa hakika angekuwa mtu mwingine ningemtukana maana hatutaki upuuzi uchukuwe nafasi humu JF. Huo ndio ushauri wangu
Hakuna takataka niliyowahi kuidharau humu Jf kama Shelui ningekutana naye ningemkojolea kichwani hakyanani,mpu mba vu ssana
 
Last edited by a moderator:
Hiyo picha me naona ya kibaka. Muhuni. Isihusishwe na siasa za vyama.

Uwe serious ndugu yangu. ukibaka ulitambuaje katika mtu huyo? Thibitisha kama ni kibaka. Kama huna ukakika na unachokisema kwa sababu ya umaskini wako katika fikra, potea mbali. Hili jambo halina nafasi ya upuuzi kama huo.
 
Mkuu kibwete hawa ni wajinga sana huyu ni kibaka tena mwizi mkubwa kapigwa kitaa wanatafuta sympathy humu JF. Basi CDM hawa ndio makamanda wenu basi mnahasara kubwa hadi vibaka mnawatetea? Sasa nimegundua kwanini Lema anaumgwa mkono watu wenyewe hawa basi kazi ipo

Na Ulimboka je? Vip Mwangosi na Kibanda? Kwa taarifa yako Lema ni mbunge wa watu wote, na huo ukibaka unaolazmisha wewe umeletwa na CCM, So Lema ndo ana fomart
 
Inasikitisha sana, hizi siasa za kwetu arusha , zitatupeleka pabaya sana, na wala tusidanganyane ccm na cdm wanatuletea bala, ni lazima wana arusha wachukue jukumu kuwaondoa wote. Vyama ni vingi tanzania

Kwani CCM na CHADEMA hawapo mikoa mingine!? Kwa nini Arusha mkatane mapanga/mashoka kama sababu ni vyama hivyo na sehemu nyingine wasikatane!? Arusha kuna hulka hizi, ugomvi kidogo tu visu nje nje...siasa ni sababu tu ya kutimiza hulka yenu, hili si tatizo la kivyama!
 
Haya ------- mbona tuwaachia wanafanya mambo ya kisengex2,kwani wanatushindwa nini! Juz wamejeruhi makamanda MBALALI Leo wamekuja Arusha wanajiamini nini? Hawa jamaa ni MAGAIDI na CCM kinalea na kukuza magaidi nchini! Shame on them.
 
kama lengo la ccm ni damu za watu,kwa nini msihamasishe vijana wakajitolea damu salama nazikatunzwa pale muhimbili badala ya kuzitaka kwa style ya mashoka na mapanga na hatimaye damu yenyewe inamwagika yote chini?

"hakuna taifa la chadema wala ccm ila kuna taifa la Tanzania"by mwigulu nchemba
 
Inasikitisha na kuhuzunisha sana. Wameingia kumwaga damu za watanzania ili waendelee kukaa madarakani, kamwe hawatafanikiwa! Yawezekana hata yule bwana aliyemwagiwa tindikali kule Tabora aliyegeuka mtaji kwa Mwigulu walifanya CCM!
 
CCM imekusanya kundi la majambazi sugu ndo linatumia kuwaharass wananchi wa arsha na kuwawinda wanaCHADEMA na mapanga!
 
Back
Top Bottom