Picha: Kabla na baada ya mkutano wa Slaa kuvunjika Kasulu, Kigoma

Status
Not open for further replies.

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
994979_265243616960654_1232769514_n.jpg



993476_628799223848819_511373705_n.jpg



1462988_1495113184048044_19835484_n.jpg
1476459_1495113377381358_40530360_n.jpg
1450192_1495155387377157_1063479637_n.jpg
1450185_1495113467381349_1869304246_n.jpg
1450315_628801287181946_550272832_n.jpg
1478988_613771452015965_517396885_n.jpg



Baada ya mkutano wa Slaa Kuvunjia hali ikawa hivi.Polisi wakipambana na wananchi kutuliza Vurugu.
Naomba Mods Picha kama hizi na zile za mabango muziache wananchi wazione kama Mnachanganya basi wekeni kwenye Main post ya mada huzika,sio kuzificha kwenye Comment.Postive and Negative shall be open



 
Acha kutonesha vidonda vya waislam.. Hapo sio Kigoma... Naona Sharif Ritz anakula kibano..
 
Last edited by a moderator:
Naomba serikali iingilie kati kusitisha hizi ziara za dr slaa nchini kuepusha uvunjifu wa amani na vurugu.

Kwa uvunjifu upi wa amani unaouongelea?! Kwa wahuni wakuhesabika wanaoleta vurugu kwa mikutano halali ya kikatiba??
Ficha up.u.mb.a..vu wako na ionyeshe hekima uliyonayo, japo ni kidogo sana...
 
Something must be wrong somewhere, hata kama ikiwa ni WanaCCM wameandaa machafuko haya lakini bado kuna sehemu kuna shida.
 
Naomba serikali iingilie kati kusitisha hizi ziara za dr slaa nchini kuepusha uvunjifu wa amani na vurugu.

Wasitisha kwa sababu gani hasa? Kinachoendelea ni watu wachache ambao wametumwa na maccm kuharibu harakati za mabadiliko hamna cha zaidi. CDM itaendelea kuwapikinia watanzania hadi Ikulu.
 
You are so cheap my friend. Inaonyesha jinsi unavyotumika, hata hujitambui kabisa ... Huna tofauti na hao wasiokuwa na hata uwezo wa kununua Viatu wamebaki wakitembea peku au na kandambili hadi karne Hii lakini bado hawatambui kuwa umaskini wao umeletwa na CCM.

Wakati huu si kipindi cha kushabikia ujinga, ina maana huoni madudu yanayofanywa chini ya CCM mpaka upoteze muda na nguvu nyingi kudanganya watu????

Ama kweli we have a long way to go with the people of your poor mindset!

To hell with your doctored photos!
 
View attachment 125612

Hii picha ni uongo, ni picha ya zamani sana wakati wa harakati za waislamu.
Bora umeishtukia mkuu... hii ilikuwa wakati wa sakata la sheikh ponda...Waislam wa Temeke walijenga kwenye kiwanja chao BAKWATA CCM kama kawaida yao walikuwa tayari wameshachukua fedha za manji... baada ya kuona soo ikabidi wamsingizie sheikh ponda kuwa alisababisha fujo...
 
Naomba serikali iingilie kati kusitisha hizi ziara za dr slaa nchini kuepusha uvunjifu wa amani na vurugu.

Umepewa ushauri lakini naona ndiyo kwanza unavuna aibu .Wahuni wachache hao ndiyo unasemaje ? Info zina flow mapema na Chadema wako well informed .Ondoa mashaka mtapoa tu .
 
Bila kupepesa macho wala kutingisha masikio nasema Dr. Slaa amekwenda kuwachokoza watu wa Kigoma. Huu si wakati muafaka wa kwenda Kigoma wakati kijana wao wanamnyanyapaa kwenye Chama. Tutake tusitake Zuberi Zitto Kabwe ana mashiko Kigoma. Natamani nione Zitto akirudi jimboni kwake kuonana na wananchi wake baada ya hili kasheshe. Hakika nakuambia siku Zitto anatia mguu Kigoma, Kigoma itasimama. Ningekuwa Zitto ningeenda Kigoma mara tu baada ya mkutano huu wa Bunge.
 
Kila mpenda mabadiliko na awapuuzie wana lumumba b7,mimi nshawapuuzia kitambo wewe je?
 
..


....Moderators huyu Taswira ni mchochezi picha ya kwanza hapo juu huu ni uchochezi wa makusudi!!

CC Invisible

Tahadhari!!

Kuna watu wanatumika kuchochea vurugu
via jf...
 
Wasitisha kwa sababu gani hasa? Kinachoendelea ni watu wachache ambao wametumwa na maccm kuharibu harakati za mabadiliko hamna cha zaidi. CDM itaendelea kuwapikinia watanzania hadi Ikulu.

Angalia picha ya kwanza kwa makini.. Hapo sio Kigoma.. Ni kuwadhalilisha hao wazee wanao kula kichapo
 
...Zitto kwanza chama baadae? haihitaji kutumia akili kubwa kuwajua waliokuwa nyuma ya huo uhuni! Vijana wa matata kutoka mwanza! toka lini wachagga wakawa na bifu na waha?...Ubaguzi huu wa CCM utaigharimu nchi yetu isipodhibitiwa kikamilifu...
 
Naomba serikali iingilie kati kusitisha hizi ziara za dr slaa nchini kuepusha uvunjifu wa amani na vurugu.


Mkuu mbona mmeamua kuchanganya na picha za kariakoo siku ile ya vurugu za waislam.? ili tuamini kwamba mkutano umevurugika, this is too low to you guys ebu andamaneni kudai bei ya umeme ishuke au kodi ya SIM kadi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom